Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Mwasibu baada ya Aziz Ki sasa ni BalekeMbona haina hata mahusiano na mada?, wewe unayaona? Hoja yako ni nini?
Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi
Jean Baleke (kulia) akifanya yake. STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi. Baleke amejiunga na...