Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐๐ Daah!!This is you View attachment 3040303
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐ Daah!!This is you View attachment 3040303
Uwiii! Kumbe tayari.Ndio mkuu Toka saa 7 mchana ingia kwenye Yanga app utaona mkuu
nasikia waliwapa thank you hadi waganga! wanatapatapa kama wafa maji,mpira sasahivi ufundi wao wanashika vihirizi tu...๐Hakika, wanaruka na kukanyagana
tena linakufa kifo cha mende!Uwiii! Kumbe tayari.
Mwaka huu jitu linakufa tena. ๐
Hoja ya Nini sasa mkuu mambo madogo unapaniki si nimeshakujibu kuwa katangazwa kwenye app apo juuAndika basi hoja sababu ya kuniquote badala ya kunifanya kama shogaako
Yaani na hapo Ligi haijaanza.wanazidi kutetemeka!
Hahahaaa. Ponapona yao wasilete timu uwanjani. ๐tena linakufa kifo cha mende!
Kabisa watakoma sana na wengine washaanza kupata wivu Kabisa roho zinawauma sana yaani sana na timu Yao mbovu ๐๐Uwiii! Kumbe tayari.
Mwaka huu jitu linakufa tena. ๐
Kabisa ๐คฃ๐Hahahaaa. Ponapona yao wasilete timu uwanjani. ๐
mara hii wasipoomba wacheze na mikono sijui tu!..๐คฃHahahaaa. Ponapona yao wasilete timu uwanjani. ๐
Wanatamani warudie kusajili. ๐คฃKabisa watakoma sana na wengine washaanza kupata wivu Kabisa roho zinawauma sana yaani sana na timu Yao mbovu ๐๐
Wamechoka kinyamaHakika, wanaruka na kukanyagana
Kabisa vichwa vyao vimepata motoWanatamani warudie kusajili. ๐คฃ
Hahahaaa. Bila hivyo maumivu yatakuwa paale paale.mara hii wasipoomba wacheze na mikono sijui tu!..๐คฃ
๐๐๐Kabisa vichwa vyao vimepata moto
tupeni majina yote ila kipigo palepale kolizidadi kolokolo!Veterans fc
Sawa nyie mchukueni Beleke abaki Baleke.Karibu sana Yanga SC beleke
Sawa nyie mchukueni Beleke abaki Baleke.
Aliharibu Income Statement huyo kabla BS.Wewe una akil za kihasibu na balance sheet zinakushinda ๐๐๐