haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae.
Jamaa alikua anatuhadithia mambo wanavyofanya kwenye 6*6, mengine si mazuri. Yeye alidhani ni chapa ilale.
Bahati mabaya dada akapata ujauzito, kutoa katakataa, kutokana na heshima za familia zao, hakukua na namna zaidi ya kumuoa.
Sawa wanalea mtoto, jamaa kawa mpole sana. Akiwa na wana stori za mke au wanawake hatoi ushirikiano.
ukichagua chagua unachoweza kukibeba incase chochote kitatokea. Ila kama unasura ngumu, we chagua yoyote maana we mwenyewe ni mgumu