Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI πŸ™πŸΏ

Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko hospital πŸ™πŸΏ
 
Hiyo status kabla au baada ya kifusi, kwasbb hiyo ishara alio fanya ni ya kua na peace au akujua hilo
 
Huyu kaka anauza suruali za kike, jumla na rejareja. Alipookolewa kuna mtu, akaandika sasa kaka uache kuuza suruali za kike. Uanze kuuza za kiume. Kwa maana yake suruali za kike ni laana!!! Mmh!!!

Kuna watu wana Imani zao πŸ™ huyu aliyeokolewa ni mmoja wao.
 
🀣🀣 Wanawake sijui tunachukuliwajeeπŸ˜”
 
Nadhani walimaanisha kwa sababu ameokolewa na wanaume ndio maana wanasema auze suruali za kiume...
 
maoni tu ya wadau na kila mtu na kichwa chake..
 
Nadhani walimaanisha kwa sababu waliyemuokoa ni wanaume ndio maana wanasema auze suruali za kiume...
Ooh huenda, sasa na mtu akizaliwa ataambiwa auze za kike sababu kazaliwa na mwanamke πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Mimi nadhani alimaanisha kwa Imani yake. Maana aliendelea kitu kama aione pepo, kumrudia Muumba wake, kamuokoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…