Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umeelewa point yangu???bora huku mkuu huko kwenu stress huku kwetu ikitoka haina den kusema nikila mtaj nafirisika huku tuna kula bata siku 5 tunateseka siku 25 mambo murua
Ukiweza kujizuia kukopa utaishi maisha mazuri maana hata mikopo yenyewe watu hawafanyii vitu vya maanamzee baba mshahara wenyew laki 8 mara makato napokea laki moja unusu kwahy unataka ukutane na mwingine nile afu 5 broo
Dah mkuu, mbona tarehe za mshahara bado kama wiki nzima. Ina maana hizo pisi utazilia macho muda wote huo, aisee.nasema ukweli tupu au nikutumie picha nikiwa sina hela ya pisi nakuwaje
Hapo unatakiwa uwakope hao warembo. Waambie mshahara ukiingia utawalipa.ndio mana nawaomba mnipe mkopo nika enjoy nitarudisha
HahahaJana nimetoka zangu kazini jioni kuna jamaa yangu kanipitia, mr pipa kuna ka elfu 20 hapa tukale mtungi.
Mimi mambo si haya na ukicheki nipo ugenini mke nimemuacha home, basi nikaoga zangu huyo viwanja, mwamba akaagiza kumi na tano ikakata ile pombe inaanza kufanya kazi ikakimbilia chini kuangalia pembeni, pisi kama zote.
Nikamwita mmoja nikamwambia unatumia kinywaji gan akasema soda ya kopo kuangalia mfukoni nina buku tatu. Yaani mfanyakazi jina kubwa afu nina afutatu.
Si unajua tarehe za katikati hatuna kitu nikaishia kumlipia soda ya kopo buku jelo na kuaga kwamba nitalejea. Natoka pale suruali imetuna kwa mbele. Aisee nililaani sana hiki kitendo cha kupokea mshahara.
Wakuu mnikopeshe jamani tarehe 22 nitawalipa ukitoka mshahara, jaman watumishi wenzangu kazi tunayo