Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Upambaji gani huu kama kazi uiwezi
Si uiache kuliko kuvamia fani msizozielewa...matokeo yake mnawananga.
Na kuwaharibu wenzenu na kuwafanya
Kama vinyago vya mpapule kwa kweli, mimi ndio ningekuwa bwana harusi ningemshauri huyu bi. Harusi anawe maji usoni apake poda na wanja nina
Imani angependeza zaidi kuliko hivi alivyonangwa daah..mpambaji mungu anakuona kwa kweli ulivyomfanyia bi. Harusi, na hii harusi ilifanyika tanga juzi.
Kituko kwa kweli [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
bora salama.