Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Sema kiuswahilini swahilini nadhani huwa wanaona poa tu yaani haina kushangaana hiyo.
Mie hata mke wangu nyumbani apake hivyo nitamlazimisha akanawe usoni bila hivyo silali nae naweza nikaota usiku hivyo vitu alivyopaka...na mwingine usiku akilala mdomo wazi na meno nje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vitu alivyopaka hivyo anatisha.
 
Tusiozoea kujipamba acha tuwashangae vinyago watu wanapenda kuharibia wenzao siku zao muhimu ndio maninii hivyo
 
Nimekuja kujua wengi warembwao hivi niwatu wa uswahilin, huku hawawazi Sana mapambo
Bajeti yao kubwa kwenye msoc

Kwenye makeup hapo wanaita mdada wa saluni ya jiran tu apo Mtaan Anakuja kumaliza mchezo

Wacpo acha iyo tabia nawao wataendelea kuwa makatun kwenye sherehe zao daima

ni kweli wa uswazi...mie nilikua serious na mpambaj nikamwambia sitak mbwembwe!nilikua naamini wa dar tu..lol lakinni alinielewa hitaji langu,,nikawa mubashara
 
Kweli kabisa ebu angalia na hiyo nguo jaman hapo bajeti ya kuu inaishia kwenye chakula na mziki wa kigodoro
 
ni kweli wa uswazi...mie nilikua serious na mpambaj nikamwambia sitak mbwembwe!nilikua naamini wa dar tu..lol lakinni alinielewa hitaji langu,,nikawa mubashara
Bora ulivyomwambia mapema...maana
Angeanza mbwembwe sipati picha sijui
Ingekuwaje kama si ungekuwaje mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hahahhah nilikua namhofia sana mamang!too much makeup inakera
 
hahahhah nilikua namhofia sana mamang!too much makeup inakera
Pole sana, lkn wakati mwingine nunua foundation ilio bora sio zile za machinga zinazotembezwa barabarani..
Upake mwenyewe na poda yako inayonukia vizuri ukipaka na wanja wako wa machoni na kwenye kope.
Lip shine au rangi ya mdomoni Unapendeza mbona, kuliko hizo makorokocho mkuu.
 
Back
Top Bottom