Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Pole sana, lkn wakati mwingine nunua foundation ilio bora sio zile za machinga zinazotembezwa barabarani..
Upake mwenyewe na poda yako inayonukia vizuri ukipaka na wanja wako wa machoni na kwenye kope.
Lip shine au rangi ya mdomoni Unapendeza mbona, kuliko hizo makorokocho mkuu.

hahhahah naelewa sana masuala haya mkuu...asante!
 
Sisi wanaume tunajalidili haya hivi kweli ni sahihi?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sidhani kama kuna shida mkuu mke ni pambo ndani ya nyumba na maua yetu tunayoyastawisha ndani ya nyumba.
Hii leo mkeo anakuja kapambwa kama kinyago au kama sokwe uwezi kuridhika
Mke lazima apendeze kuanzia nywele usoni na mavazi, sasa hapa mimi ndio mleta huu uzi na humu wapo wadada zetu pia sioni kama kuna ubaya wowote
Mtu yoyote kujadili huu uzi ikiwa hao.
Akina dada ndio wake zetu ndani ya nyumba.
 
Nami pia nimelijua hilo kwenye zile saluni za kueleweka hakuna hizi mambo za kufanyana kama vinyago sababu ile rangi ya asili inaondoka kabisa usoni.

Kwa upande mwingine naona wenyewe wanapenda pia kuwa na hizo Mbagala rangi tatu yaani uso, shingo na hata mikono kila kimoja kina rangi yake.
Mara nyingi mtu yeyote ambae hajabobea kwenye mambo huwa ana-complicate sana,mfano huyo mpambaji kaweka mikorokoro miiiingi mpaka kamdolisha binadamu.

Aliona akiweka vitu vichache ataonekana hajui kupamba,sasa badala ya kupamba kapambua lol.

Ila tumshukuru mpambaji maana kasababisha mdau kaleta uzi, na huu uzi umenifanya nimeambulia tu like tungapi sijui.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
70a03030507a6337293f01353e3d1bbd.jpg
08200a248ba555f8776643c1363b55f7.jpg
 
Back
Top Bottom