Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Upambaji gani huu kama kazi uiwezi
Si uiache kuliko kuvamia fani msizozielewa...matokeo yake mnawananga.
Na kuwaharibu wenzenu na kuwafanya
Kama vinyago vya mpapule kwa kweli, mimi ndio ningekuwa bwana harusi ningemshauri huyu bi. Harusi anawe maji usoni apake poda na wanja nina
Imani angependeza zaidi kuliko hivi alivyonangwa daah..mpambaji mungu anakuona kwa kweli ulivyomfanyia bi. Harusi, na hii harusi ilifanyika tanga juzi. Kituko kwa kweli [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] bora salama.
 
Huyu ndio ametisha kuliko wote waliowai kutokea dadekiii
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mie kama bwana harusi natoka ndukiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi mambo zimezidi Sana ckuiz

Maskini dada wawatu kashakua kichekesho mtandaon
Hana hata raha jomoniiiii

Saluni za Mtaan mungu anawaona!
 
Minah24 na Clkey njooni muone jinsi saluni zinavyokomesha.

Ila baadhi ya saluni zimeshaanza kuwa changamoto aiseee.
Nimekuja kujua wengi warembwao hivi niwatu wa uswahilin, huku hawawazi Sana mapambo
Bajeti yao kubwa kwenye msoc

Kwenye makeup hapo wanaita mdada wa saluni ya jiran tu apo Mtaan Anakuja kumaliza mchezo

Wacpo acha iyo tabia nawao wataendelea kuwa makatun kwenye sherehe zao daima
 
Nami pia nimelijua hilo kwenye zile saluni za kueleweka hakuna hizi mambo za kufanyana kama vinyago sababu ile rangi ya asili inaondoka kabisa usoni.

Kwa upande mwingine naona wenyewe wanapenda pia kuwa na hizo Mbagala rangi tatu yaani uso, shingo na hata mikono kila kimoja kina rangi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi mambo zimezidi Sana ckuiz

Maskini dada wawatu kashakua kichekesho mtandaon
Hana hata raha jomoniiiii

Saluni za Mtaan mungu anawaona!
Salon za bei rahisi hizo Minah24: ukitoka hapo unakuwa kama kibwengo au kinyago.
 
Jomoniiíiiii!
Wamempaka nn dada wawatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii inatisha kabisa, bwana haruc hakukimbia kweli Mmmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] mie ningetoka ndukiii.
 
Mbagala rangi tatu mchezo huu upo sana.
Wakuwafanya wenzao kama nyani au kinyago kwenye salon za kike haswa kwenye upande wa mekaup emmyta:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…