Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!


hahhahah naelewa sana masuala haya mkuu...asante!
 
Sisi wanaume tunajalidili haya hivi kweli ni sahihi?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sidhani kama kuna shida mkuu mke ni pambo ndani ya nyumba na maua yetu tunayoyastawisha ndani ya nyumba.
Hii leo mkeo anakuja kapambwa kama kinyago au kama sokwe uwezi kuridhika
Mke lazima apendeze kuanzia nywele usoni na mavazi, sasa hapa mimi ndio mleta huu uzi na humu wapo wadada zetu pia sioni kama kuna ubaya wowote
Mtu yoyote kujadili huu uzi ikiwa hao.
Akina dada ndio wake zetu ndani ya nyumba.
 
Mara nyingi mtu yeyote ambae hajabobea kwenye mambo huwa ana-complicate sana,mfano huyo mpambaji kaweka mikorokoro miiiingi mpaka kamdolisha binadamu.

Aliona akiweka vitu vichache ataonekana hajui kupamba,sasa badala ya kupamba kapambua lol.

Ila tumshukuru mpambaji maana kasababisha mdau kaleta uzi, na huu uzi umenifanya nimeambulia tu like tungapi sijui.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…