Aliemsaga mtoto wake wa damu

Duh! huyo mganga aliyemshauri hivyo!!! kama ni yeye binafsi basi hamnazo kabisa.
 
I got you!

There are definitely different standards when it comes to male sexual predators.
 
Mimi sikatai mtu kuchukuliwa hatua. Lakini hatua zilichukuliwe na vyombo husika vilivyopo. Tunaporuhusu watu kumpiga ni kuruhusu vibaka wa saa wachomwe moto.

Afikishwe mahakamani na achukuliwe hatua kwa mujibu wa taratibu za nchi
 
mh, hiyo hatar kwel kwel! sidhan kma huyo ni mwanae kweli. kama wakwake basi angekuwa na uchungu nae! na sio kumfanyia unyama hivyo. wampeleke huko ndani anapopahitaji coz ndo kilichobakia asiharibu na wengine.
 
nani katoa hitimisho kuwa mtoto kaharibiwa vibaya (daktari au gea na wenzie?) - na vibaya ina maanisha nini?
 
hajachomwa moto, the photo you saw ni baada ya kukamatwa na kukiri kosa, and she is now kwenye custody ya polisi, na amesema ni bora akaishie hukohuko labda atajua anafanya nini

My question, and probably NN ni ile,.... angekua mwanaume amefanya hivyo ingekuwaje???:scared:
 
nani katoa hitimisho kuwa mtoto kaharibiwa vibaya (daktari au gea na wenzie?) - na vibaya ina maanisha nini?
..........daktari, na wewe kama ni mwanamke basi utakua unajua vibaya inaazia wapi, both in anus and the vagina!
 
Nimesoma kwa Dina Marious kuwa baadhi ya watu walimpiga na ndipo akaamua kukiri yote.

Hata angekuwa mwanamme mimi msimamo wangu uko pale pale, ahukumiwe na vyombo maalum vya nchi, tusipende kuchukua sheria na kutoa hukumu wenyewe kwani kuruhusu hilo ni kuacha mianya kwa hata watu wasio na hatia kuadhibiwa kimakosa
 
mh, hiyo hatar kwel kwel! sidhan kma huyo ni mwanae kweli. kama wakwake basi angekuwa na uchungu nae! na sio kumfanyia unyama hivyo. wampeleke huko ndani anapopahitaji coz ndo kilichobakia asiharibu na wengine.

Kuna watu wamewahi kuwabanika watoto wao kwenye oven...tena wa kuwazaa kabisa! Hebu soma hapa.
 
..........daktari, na wewe kama ni mwanamke basi utakua unajua vibaya inaazia wapi, both in anus and the vagina!

what...... I choose not to trust even a house gal and grand ma over daughters... pole sana MTM kwa mkasa huu...
 
Cha kushangaza hilo mama likikutana na Fidel aombe tiGo linamnyima kwa watoto linasokomeza dah
 
wewe... sio mtoto wangu huyo!!!:A S 13:

ulivyoitete hiyo vibaya sana nikadhani ni habari unazozijua kwa undani, kumbe na wewe ni mpokea habari kama mimi.

Vibaya sana ina range from kuwa na vidonda, non stpo bleeding, usaha, kutoweza kuzuia haja kubwa na ndogo, au hata kuondolewa marinda among others.
 
polisi utasikia bado tutafanya uchunguzi,upelelezi bado hauja kamilika,wakati wanamwona mtoto hana pa haja ndogo wala haja kubwa
 
Ila pia sitashangaa kama na yeye huyo mama alikuwa ni victim wa sexual molestation akiwa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…