Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
and that was my message, angekua mwanaume nadhani asingeamka leo kwa kuchomwa moto.... TO ME SHE IS A CHILD MOLESTER THAT DESERVES MORE THAN 30 YEARS IN JAIL (ila nimesikia leo Anti sadaka anaongea na kujadili only one sided analysis which was very shoddy (and probably unnecessarily graphic) - Kunya anye kuku aisee, akinya bata issue
nimesikiliza jana kwenye radio, jambo limetokea, amehojiwa.... madaktari wamethibitisha... na huyo sio mtoto wa kwanza kumfanyia hivyo
it was very emotional to say the least
ila kumlaumu huyo dada ni makosa (ingawa anekua mwanaume tungesema "asulubiwe" kama kawa) - sad, sad, sad
hajachomwa moto, the photo you saw ni baada ya kukamatwa na kukiri kosa, and she is now kwenye custody ya polisi, na amesema ni bora akaishie hukohuko labda atajua anafanya niniMimi sikatai mtu kuchukuliwa hatua. Lakini hatua zilichukuliwe na vyombo husika vilivyopo. Tunaporuhusu watu kumpiga ni kuruhusu vibaka wa saa wachomwe moto.
Afikishwe mahakamani na achukuliwe hatua kwa mujibu wa taratibu za nchi
..........daktari, na wewe kama ni mwanamke basi utakua unajua vibaya inaazia wapi, both in anus and the vagina!nani katoa hitimisho kuwa mtoto kaharibiwa vibaya (daktari au gea na wenzie?) - na vibaya ina maanisha nini?
hajachomwa moto, the photo you saw ni baada ya kukamatwa na kukiri kosa, and she is now kwenye custody ya polisi, na amesema ni bora akaishie hukohuko labda atajua anafanya nini
My question, and probably NN ni ile,.... angekua mwanaume amefanya hivyo ingekuwaje???:scared:
mh, hiyo hatar kwel kwel! sidhan kma huyo ni mwanae kweli. kama wakwake basi angekuwa na uchungu nae! na sio kumfanyia unyama hivyo. wampeleke huko ndani anapopahitaji coz ndo kilichobakia asiharibu na wengine.
..........daktari, na wewe kama ni mwanamke basi utakua unajua vibaya inaazia wapi, both in anus and the vagina!
wewe... sio mtoto wangu huyo!!!:A S 13:what...... I choose not to trust even a house gal and grand ma over daughters... pole sana MTM kwa mkasa huu...
Mmh! Yawezekana hana akili timamu
wewe... sio mtoto wangu huyo!!!:A S 13:
SOURCE CLOUDS FMmama aliyekuwa akimfanyia mtoto wake wa kike wa miaka saba vitendo vya kisagaji na udhalilishaji mkubwa wa kijinsia. Wengi wamelia na kujiuliza why??![]()
Kwanza kabisa huyu mama alipata mimba ya huyu mtoto akiwa kidato cha kwanza.Hapo alipo mpaka leo haijulikani baba wa huyo mtoto ni nani?amekuwa akiwafanyia huo mchezo hata watoto wengine.Ana umri wa miaka 25 huyo dada.Wakati anapewa taarifa za mwanae hakushtuka wala kujali kama mama juu ya afya ya mwanae.Sawa alikuwa anakataa hajafanya kitu lakini kama mama hakushtuka kwa lolote.Baada ya wananchi kumzonga,kumsema,wengine kumpiga akaangua kilio na kusema ''jamani mimi sijui nifanyalo,sijielewi''akaongeza ''naomba niwekwe ndani kwa maana ya jela au sehemu ya peke yangu nisionane na binadamu yoyote nijijue maana sijitambui wala sijielewi kwa nini nafanya hivyo.Haikutosha akasema ''niueni"
Hapa najaribu kuwaza tu mdau...na bado naendelea kuwaza.Mtoto mdogo wa miaka 7 wa kike ameharibiwa vibaya sehemu zake za siri za mbele na nyuma na mama yake mzazi wa kumzaa.Uliza anamfanya nini?mama huyo aliekosa haya amekuwa akimsaga mwanae huyo kwa kumuingizia uume wa bandia mbele na nyuma sehemu ya haja kubwa.Mtoto mbele hapafai nyuma hapafai mpaka imefika sasa mtoto amezoea kabisa huo mchezo
Ila pia sitashangaa kama na yeye huyo mama alikuwa ni victim wa sexual molestation akiwa mdogo.