Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Siasa za Mpira wa Bongo,kuna mengi yanakuja.Nimestushwa na Nyamlani kujiondoa sasa naona Malinzi kama amekosa mpinzani.
Yeye ndio alikuwa mgombea sahihi hasa ukizingatia alikuwa ndio injini ya Tenga. Sijui sababu nyuma yake lakini hakufanya fair kwa mashabiki wa soka waliokuwa na matumaini nae kuona anarudisha hadhi na heshima ya mchezo wa soka.
sawa Alfred Lucas-msemaji wa tff ya jamaly malinzi.Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Zamani ulikua POA sana Mpwa, kipindi kileeee MSHAMBA MSHAMBA, wakati UNAANDIKA kama vile HUJUI KUANDIKA, ila siku hizi umejanjaruka basi hata unachoandika HAKINA MANTIKI.Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Vijana wa Lumumba naona mnatetea mapandikizi yenuPengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Malinzi kafanya nini la maana tokea ameingia?
Nilikua na imani naye wakati anaingia but ameni disappoint sana
Maendeleo yapi kwani ya mpira yaliyo letwa?MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Malinzi anaongoza yanga au tff?Yanga wamechukua ubingwa Mara tatu in a row, unaona mafanikio madogo hayo??
Hahahaaaa mupwaaaaaaaaaaaaaZamani ulikua POA sana Mpwa, kipindi kileeee MSHAMBA MSHAMBA, wakati UNAANDIKA kama vile HUJUI KUANDIKA, ila siku hizi umejanjaruka basi hata unachoandika HAKINA MANTIKI.
Wewe inabidi Urudi tu KIGALI.. Shubaaamiit,,
Ally Mayai Tembele Rais TFF 2017
Siasa za Mpira wa Bongo,kuna mengi yanakuja.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app