Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Siasa za Mpira wa Bongo,kuna mengi yanakuja.Nimestushwa na Nyamlani kujiondoa sasa naona Malinzi kama amekosa mpinzani.
Yeye ndio alikuwa mgombea sahihi hasa ukizingatia alikuwa ndio injini ya Tenga. Sijui sababu nyuma yake lakini hakufanya fair kwa mashabiki wa soka waliokuwa na matumaini nae kuona anarudisha hadhi na heshima ya mchezo wa soka.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app