Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Nimestushwa na Nyamlani kujiondoa sasa naona Malinzi kama amekosa mpinzani.

Yeye ndio alikuwa mgombea sahihi hasa ukizingatia alikuwa ndio injini ya Tenga. Sijui sababu nyuma yake lakini hakufanya fair kwa mashabiki wa soka waliokuwa na matumaini nae kuona anarudisha hadhi na heshima ya mchezo wa soka.
Siasa za Mpira wa Bongo,kuna mengi yanakuja.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
J.Malinzi ni member humu akianza kampeni aje atuambie amesahahu nini TFF.
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
sawa Alfred Lucas-msemaji wa tff ya jamaly malinzi.
tumekusikia.
 
Kura kwa malinzi,kaendeleza soka la vijana na mpira wa miguu kwa ujumla hapa tanzania,sijaona wa kumletea upinzani
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Zamani ulikua POA sana Mpwa, kipindi kileeee MSHAMBA MSHAMBA, wakati UNAANDIKA kama vile HUJUI KUANDIKA, ila siku hizi umejanjaruka basi hata unachoandika HAKINA MANTIKI.

Wewe inabidi Urudi tu KIGALI.. Shubaaamiit,,

Ally Mayai Tembele Rais TFF 2017
 
Vijana wa Lumumba naona mnatetea mapandikizi yenu
 
Mainzi yameozesha mzoga! TFF inakufilia mbali hawa Yanga wameimaliza haina mwelekeo kabisa
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Maendeleo yapi kwani ya mpira yaliyo letwa?
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]

Akiri za watu kama nyie uanabaki kuzishangaa baadae tutafte aliyeturoga Malinzi kafanya nini ?
 
Kura ni kwa Malinzi tu,hakuna namna.
#UsiyempendaKaja#
Ajeeeee marambiliii wataisomaaa namba tu

Ubingwa hauji mezani wakashinde uwanjan waache ujuha
 
Zamani ulikua POA sana Mpwa, kipindi kileeee MSHAMBA MSHAMBA, wakati UNAANDIKA kama vile HUJUI KUANDIKA, ila siku hizi umejanjaruka basi hata unachoandika HAKINA MANTIKI.

Wewe inabidi Urudi tu KIGALI.. Shubaaamiit,,

Ally Mayai Tembele Rais TFF 2017
Hahahaaaa mupwaaaaaaaaaaaaa

-----VOTE4JAMALMALINZI--------KWA MAENDELEO YA SOKA

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
 
Siasa za Mpira wa Bongo,kuna mengi yanakuja.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
IMG-20170626-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom