Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu, kumbuka kuwa hapa ni mahali 'patakatifu', siyo sehemu ya kupost chochote hata kama ni hisia zako. Kama una ushahidi wa hizi tuhuma zako, tafadhali eleza kwa upana na kuambatisha nyaraka husika zinazothibitisha madai yako.Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
Baraza la Mitihani wapo na watahakiki uhalali wa vyeti vyakeMgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
Peleka chai ya asubuhi kwa jamaa yako segerea, acha kelele!!Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
Mbona kwa bashite walishindwa....necta ilikua zamani sasa hivi ni chama cha siasaBaraza la Mitihani wapo na watahakiki uhalali wa vyeti vyake
Igeuke tu kuwa Chama cha michezo CCMMbona kwa bashite walishindwa....necta ilikua zamani sasa hivi ni chama cha siasa
umeshikwa pabaya na badoMgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
form four unaenda diploma moja kwa moja mkuu,ni elimu pekee diploma unatakiwa kuwa kidato cha sitaYawezekana alipata zero form 6. But kupitia cheti chake cha form 4 akatumia kuanzia ngazi ya certificate, diploma, bachelor then postgraduate.
UDSM kuna certificate mpaka degree kama huelewi uliza....mfano wa certificate zao ni law ambayo hutolewa kupitia matawi yake kama mwanza,Zanzibar,mbeya,ukonga,iringa na hata hapo main campas!!hivi mbona wenye elimu za ujanja ujanja hawasomagi udsm..??
je udsm hawaruhusu certificate mpaka degree???
Upumbavu wako hauvumiliki yaani wewe ni mjinga totally na inaonesha huelewi chochote juu ya Elimu!!!Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
kupata zero auUpumbavu wako hauvumiliki yaani wewe ni mjinga totally na inaonesha huelewi chochote juu ya Elimu!!!
Yawezekana alipata zero form 6. But kupitia cheti chake cha form 4 akatumia kuanzia ngazi ya certificate, diploma, bachelor then postgraduate.
ukipata ziro unaruhusiwa kurudia mitihani,mfumo wa elimu huuelewiform four unaenda diploma moja kwa moja mkuu,ni elimu pekee diploma unatakiwa kuwa kidato cha sita