Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
Mkuu, kumbuka kuwa hapa ni mahali 'patakatifu', siyo sehemu ya kupost chochote hata kama ni hisia zako. Kama una ushahidi wa hizi tuhuma zako, tafadhali eleza kwa upana na kuambatisha nyaraka husika zinazothibitisha madai yako.

Bila ushahidi wa hizi tuhuma, wewe utahesabika kama unatumiwa tu. Ni hayo tu Mkuu wangu.
 
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
Baraza la Mitihani wapo na watahakiki uhalali wa vyeti vyake
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
Peleka chai ya asubuhi kwa jamaa yako segerea, acha kelele!!
 
Mijitu mingine bana hata haifikirii..... Angekuwa baba yako Huyo ungeandika ujinga huu??
 
Yawezekana alipata zero form 6. But kupitia cheti chake cha form 4 akatumia kuanzia ngazi ya certificate, diploma, bachelor then postgraduate.
 
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
umeshikwa pabaya na bado
 
Yawezekana alipata zero form 6. But kupitia cheti chake cha form 4 akatumia kuanzia ngazi ya certificate, diploma, bachelor then postgraduate.
form four unaenda diploma moja kwa moja mkuu,ni elimu pekee diploma unatakiwa kuwa kidato cha sita
 
Kwanza unatakiwa umpe kongole (Sifa) Ally Mayai kwa kujiongeza kielimu bila kukata tamaa! Mie nilisoma naye CBE kuanzia Certificate mpaka Degree. Wewe kalia ushambenga wako huo huo mitandaoni bila kuwajua watu!!!!
 
Ali na Aaron nyanda nimepiga nao msuli CBE

Ali ni msomi haina shaka, sema mimi naona kama alikuwa hajawiva kuongoza tff angesubiri kidogo umri usogee
 
Kumbe kifo Cha... Furaha kwa kunguru.. Hii inaitwa Poli-Football siasa ndani ya mpira.. Inaweza kukupeleka hata ardhini mwingine akalie kitu chako..
 
hivi mbona wenye elimu za ujanja ujanja hawasomagi udsm..??

je udsm hawaruhusu certificate mpaka degree???
 
UDSM kuna certificate mpaka degree kama huelewi uliza....mfano wa certificate zao ni law ambayo hutolewa kupitia matawi yake kama mwanza,Zanzibar,mbeya,ukonga,iringa na hata hapo main campas!!
 
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
Upumbavu wako hauvumiliki yaani wewe ni mjinga totally na inaonesha huelewi chochote juu ya Elimu!!!
 
Yawezekana alipata zero form 6. But kupitia cheti chake cha form 4 akatumia kuanzia ngazi ya certificate, diploma, bachelor then postgraduate.
form four unaenda diploma moja kwa moja mkuu,ni elimu pekee diploma unatakiwa kuwa kidato cha sita
ukipata ziro unaruhusiwa kurudia mitihani,mfumo wa elimu huuelewi
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom