Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu, kumbuka kuwa hapa ni mahali 'patakatifu', siyo sehemu ya kupost chochote hata kama ni hisia zako. Kama una ushahidi wa hizi tuhuma zako, tafadhali eleza kwa upana na kuambatisha nyaraka husika zinazothibitisha madai yako.Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
Bila ushahidi wa hizi tuhuma, wewe utahesabika kama unatumiwa tu. Ni hayo tu Mkuu wangu.