Aliens, viumbe wanaoaminika kuwazidi binadamu akili

Aliens, viumbe wanaoaminika kuwazidi binadamu akili

Kwa watu wa masuala ya anga, hakuna anayesema moja kwa moja kuwa viumbe hao hawapo, wanaweza kuwepo ama kutokuwepo pia.

Mtoa mada kaandika kana kwamba hao viumbe wameshathibitika kuwepo, nikamkumbusha kuwa mpaka sasa hakuna hizo evidence wala sikumaanisha kwamba hawapo.
Fuatilia tukio la Roswell na major Marcel na yule muingereza aliyeelezea hilo tukio la Roswell akiwa kitanda Cha mauti,na yule mwamba aliyesema teknolojia ya hao alliens walipewa kampuni tofauti za tech marekani..Kisha jamaa akafa kwa mshtuko wa moyo siku chache baadae, major Marcel walimtikisa dish
 
Kwa watu wa masuala ya anga, hakuna anayesema moja kwa moja kuwa viumbe hao hawapo, wanaweza kuwepo ama kutokuwepo pia.

Mtoa mada kaandika kana kwamba hao viumbe wameshathibitika kuwepo, nikamkumbusha kuwa mpaka sasa hakuna hizo evidence wala sikumaanisha kwamba hawapo.
Unasubiri mpaka upewe evidence na NASA au SHIRIKA LA ANGA LA TANGANYIKA?
 
Siyo,ni viumbe vinavyoishi sehemu isiyojulikana Ila vina tech Bora kuliko sisi na viko interested na dunia na maisha yetu,vinakuja Mara kwa mara
ko vibwengo vyenyewe tunaishi navyo?
 
Kuamini uwepo wa aliens ni uzwazwa.
 
Tofari lililotumika kuijenga mapiramid ya giza
 
Attachments

  • Screenshot_20230325-224708.png
    Screenshot_20230325-224708.png
    232.7 KB · Views: 9
I don't know the alien
I don't know where they live no body see the alien majibu ya Elon musk alipoulizwa kuhusu alien.
 
Back
Top Bottom