Aliesema ya kuwa nguvu iliyotumika iliendana na tukio ni nani?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
33,225
Reaction score
83,181
Sasa hivi anasemaje? Kama Nguvu ilikua sahihi kwa nini leo aone ya kua tumeondokewa na wapendwa au anaamini tumekwisha sahau?Hapakaliki huko?Aendelee kupambana na wananchi, jumuiya za kimataifa na kanisa.
 
Anatuonaje sijui mara ni ai mara watu kutoka nje mara kwanini mlishindwa kuwazuia vijana wenu mara vijana wanapigania nini.hapa ni mkono wa Mungu tuu ndio atamaliza hii kwa namna atakavyoona yeye na kwanjia gani .hawa watu watudharau kwa hali ya juu sana
 
Ni huyu huyu ambaye amekuja na song jipya la kufungia mwaka la kuhubiri maridhiano feki.

Sijui anatuonaje Watanganyika! Yaani mpaka leo Rais wetu amemfunga jela huku akiwa hana kosa lolote! Halafu anatuimbia taarabu!
 
Amechanganyikiwa
 
Kumbuka ngonjera na taarabu ni topiki pendwa kwenye somo la Kiswahili na sisi watu wa mwambao na kisiwani twaongoza ufaulu katika kiswahili.

Hapa ni ngonjera na mipasho tu hadi kuche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…