Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,

IMG_20210902_212835_853.jpg
 
Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha, hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu.
 
🤣🤣🤣
Kapumbu atakuwa na kende size ya ng'ombe.
 
Yanga warudie siku ya wananchi kurekebisha dosari
 
Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha.hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu.
Ni nyimbo ya kijinga sana, Simba walifungwa na Libolo ya Angola wala haikuwa shida, Tundaman mziki umemshinda amehamia kwenye vijora.
 
Hii ngoma kali sana.

Ina vibe la kutosha.

Tundaman popote ulipo " Huyo Miss Manyara ni nani? Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom