Harrykany JF-Expert Member Joined May 10, 2019 Posts 619 Reaction score 668 Sep 2, 2021 #1 Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Sep 2, 2021 #3 Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha, hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu.
Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha, hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu.
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,731 Sep 2, 2021 #4 🤣🤣🤣 Kapumbu atakuwa na kende size ya ng'ombe.
SHEDEDE JF-Expert Member Joined Feb 6, 2021 Posts 339 Reaction score 551 Sep 2, 2021 #5 Yanga warudie siku ya wananchi kurekebisha dosari
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Sep 2, 2021 #6 NAWATAFUNA said: Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha.hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu. Click to expand... Ni nyimbo ya kijinga sana, Simba walifungwa na Libolo ya Angola wala haikuwa shida, Tundaman mziki umemshinda amehamia kwenye vijora.
NAWATAFUNA said: Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha.hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu. Click to expand... Ni nyimbo ya kijinga sana, Simba walifungwa na Libolo ya Angola wala haikuwa shida, Tundaman mziki umemshinda amehamia kwenye vijora.
Best Daddy JF-Expert Member Joined Apr 2, 2019 Posts 950 Reaction score 1,672 Sep 2, 2021 #7 Hii ngoma kali sana. Ina vibe la kutosha. Tundaman popote ulipo " Huyo Miss Manyara ni nani? Nauliza tu.
Hii ngoma kali sana. Ina vibe la kutosha. Tundaman popote ulipo " Huyo Miss Manyara ni nani? Nauliza tu.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Sep 2, 2021 #8 Ni kelele za matopeni mkuu.