Aliesomea uhasibu na aliesomea Utawala (HR) anaweza kufanya kazi law firm?

We inaonekana hujui kitu kuhusu HR. Ni sawa na wale wanaosamaga physics halafu anakuja kuwaambia watu anajuwa umeme kutokana na kusoma kwake physics
Modern HR it's all about ku ensure compliance zinahosuana na employment issues zinafuatwa vzr na legal issues about employment zinakua settled according ndio maana ....law firm wakimuhitaj HR specifically atakua amesoma law......
 
Mimi nimesomea Human Resource Management, wanafundisha Sheria za kazi,na pia nimewahi kuona matangazo ya law firms wanahitaji HR officers

Mtu aliyesomea Law hawezi kusimamia Law firm kubwa,unapaswa utambue Mambo mengi zaidi ya Sheria kwa mfano Remuneration,Motivation ,office procedures, Mambo ya employee benefits, Mambo ya training

Hayo yote Ni muhimu katika Kum retain employee, sababu ku abide Sheria peke yake hakumfanyi employee abaki ,mtu huenda kwenye masilahi
 
We inaonekana hujui kitu kuhusu HR. Ni sawa na wale wanaosamaga physics halafu anakuja kuwaambia watu anajuwa umeme kutokana na kusoma kwake physicsj
Mimi nimesomea Human Resource Management, wanafundisha Sheria za kazi,na pia nimewahi kuona matangazo ya law firms wanahitaji HR officers

Mtu aliyesomea Law hawezi kusimamia Law firm kubwa,unapaswa utambue Mambo mengi zaidi ya Sheria kwa mfano Remuneration,Motivation ,office procedures, Mambo ya employee benefits, Mambo ya training

Hayo yote Ni muhimu katika Kum retain employee, sababu ku abide Sheria peke yake hakumfanyi empl
We inaonekana hujui kitu kuhusu HR. Ni sawa na wale wanaosamaga physics halafu anakuja kuwaambia watu anajuwa umeme kutokana na kusoma kwake physics
nahisi

nahisi huelewi chochote kuhusu sheria, lawyers trained to search information , firm itachagua member mmoja among themeselves then atafanya shughuli za HR, hakuna sababu ya kuwa na hr ambaye atafanya za utawala, ndio maana huwa mnashauriwa somea taaluma
SIO KWELI kuwa law firms hazihitaji hao watawala. Wana nafasi zao kabisa na wanahitajika sana labda ofisi yako iwe ya mtu mmoja ama wawili watatu. Ila kama ofisi ina watu zaidi ya 10 ni muhimu kuwa na mtawala
 
nahisi

nahisi huelewi chochote kuhusu sheria, lawyers trained to search information , firm itachagua member mmoja among themeselves then atafanya shughuli za HR, hakuna sababu ya kuwa na hr ambaye atafanya za utawala, ndio maana huwa mnashauriwa somea taaluma
Mkuu Sasa Ni kwanini Law firms huwa zinaajiri HR na hata mwaka huu nimeona Tangazo la serikali linahitaji HR mahakamani, je unataka kuniambia serikali nayo haijui kitu ?
 
nahisi

nahisi huelewi chochote kuhusu sheria, lawyers trained to search information , firm itachagua member mmoja among themeselves then atafanya shughuli za HR, hakuna sababu ya kuwa na hr ambaye atafanya za utawala, ndio maana huwa mnashauriwa somea taaluma
Ningependa Sana endapo utanijibu comment yangu hapo juu niliyoainisha majukumu ambayo yanaweza kufanywa na HR lakini Trained lawyer hawezi
 
Mimi nimesomea Human Resource Management, wanafundisha Sheria za kazi,na pia nimewahi kuona matangazo ya law firms wanahitaji HR officers

Mtu aliyesomea Law hawezi kusimamia Law firm kubwa,unapaswa utambue Mambo mengi zaidi ya Sheria kwa mfano Remuneration,Motivation ,office procedures, Mambo ya employee benefits, Mambo ya training

Hayo yote Ni muhimu katika Kum retain employee, sababu ku abide Sheria peke yake hakumfanyi employee abaki ,mtu huenda kwenye masilahi
Kweli Kaka my last job nilikuwa human resource though nilisomea public administration, kwenye public administration kuna katopic ka human resource/personnel management Ila sio deep Sana lkn mengine nilijifunza nikiwa kazini
 
Back
Top Bottom