Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

kabisa mkuu ila we kidogo zimekutoka.upinzan haina maana ndo inaleta nguvu katika umma.ila upo kwa ajili ya kukosoa utumbo ambao haufnyi digetion vemaa..
Ok mkuu.. nimeshaelewa vizur.
 
Nguvu ya umma haijawahi kushindwa hata mara moja.
Kweli mkuu nguvu ya umma halisi tumeiona ilivyofanya kazi huko Sudan kwa Bashir, Misri, Afrika kusini nk. Lkn hapa kwetu chama hakina hata wanachama milioni moja tayar kinajiita nguvu ya umma afu mkuu wa chama anakamatwa huku mtaan maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom