Kinachotokea hapa ni uthibitisho kwamba Watz hawajishughilishina mambo yanayotokea kisiasa. Watu wengi vijijini hawajui yanayoendelea kitaifa. Vijana wengi ni wafuatiliaji wazuri wa mchezo wa mpira lakini siasa hawajishughulishi. Labda wanasiasa hawajafanya juhudi kuwahamazisha.Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa.
Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.