Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao kweli! Anasahau sababu zilizomuweka pale zilikuwa zipi 😀
 
IMG-20250912-WA0007.jpg
 
Tatizo maisha yenu yanategemea mimea ya kijani kujipatia chakula, ndio maana mnashindwa kuitoa ccm madarakani.
 
Back
Top Bottom