Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi kutawala nchi ambayo watu wamekukataa.
Hapo tunasubiri tu na hao wakuu wa majeshi wakuchoke kisha utabaki peke yako mtu kati.