PostGE2025 Alifikiri baada ya Uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia. Sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga

PostGE2025 Alifikiri baada ya Uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia. Sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hayo mauaji yamegusa kila mwananchi, hata hao wanajeshi kuna ndugu zao wamepigwa risasi. Amani ipi sasa atakuwa nayo? Aitoe wapi?
 
Tatizo watanzania tunachonga sana mitandaoni lakini field videndo 0.

Yaani kwenye match: PASS 1000,000--ON TATGET 0.

No attempt hata moja mpaka sasa!!
 
Jeshi limekuwa la ajabu,yani mtu anaua watu katika wingi ule wao wapo wamekaa tu wanaangalia! And then wanaendelea kumtii!
Watanzania pambanieni nchi yenu wenyewe hakuna wa kuwasaidia nawaambia.
 
Back
Top Bottom