Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Sio yeye moja kwa moja ndio ameuwa narejea maneno ya pole pole serikali ya samia ni sawa na nyumba isiyokuwa na mwenyewe kuna wengine wasaidizi na washuri wamejituma kufanya hivyo na watoto wake.Huwezi ukaua maelfu ya watu vile ukawa na amani.
Never. Kanuni inakataa.
Sisi tunajua ni yeyeSio yeye moja kwa moja ndio ameuwa narejea maneno ya pole pole serikali ya samia ni sawa na nyumba isiyokuwa na mwenyewe kuna wengine wasaidizi na washuri wamejituma kufanya hivyo na watoto wake.
Lakini hapo mtu kati atawekwa yeye kwa kutumia madaraka vibaya.
Kuna presidential powers ambazo haziwezi kuwa delegated. CIC powers fit that bill!Sio yeye moja kwa moja ndio ameuwa narejea maneno ya pole pole serikali ya samia ni sawa na nyumba isiyokuwa na mwenyewe kuna wengine wasaidizi na washuri wamejituma kufanya hivyo na watoto wake.
Lakini hapo mtu kati atawekwa yeye kwa kutumia madaraka vibaya.
Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi kutawala nchi ambayo watu wamekukataa.
Hapo tunasubiri tu na hao wakuu wa majeshi wakuchoke kisha utabaki peke yako mtu kati.
Yaani kapoteza nuru kabisa usoni kwake!Anatembea anaangalia chini kama mchawi fulani vile.
Kama ni kweli hana nguvu hiyo namuombea kwa Mungu apate ukombozi. Japo kauli zake zinatia ukakasi.Sio yeye moja kwa moja ndio ameuwa narejea maneno ya pole pole serikali ya samia ni sawa na nyumba isiyokuwa na mwenyewe kuna wengine wasaidizi na washuri wamejituma kufanya hivyo na watoto wake.
Lakini hapo mtu kati atawekwa yeye kwa kutumia madaraka vibaya.
Basi utawahiwa wewe ya kwenye masaburi hole Yako. Pole sanaMi ninge mchoma na singe shingoni.
Saw up, up up.
Ni sahihi. Pamoja na kujikwatua usoni lakini uso umebadilika. Anapitia kipindi kigumu sana cha msongo yule mama.Yaani kapoteza nuru kabisa usoni kwake!
Damu ya mtu inanuka Sheikh.Huwezi ukaua maelfu ya watu vile ukawa na amani.
Never. Kanuni inakataa.
Hahaha watu wenye Mapepo huwa wanaangalia chini au kumwepusha macho akutanapo na mtuAnatembea anaangalia chini kama mchawi fulani vile.
Kaishiwa pawa sana uongozi wake umepwaya sanaUtawala wake mzima hana jeuri ya kukaa jukwaa moja na wananchi kuadhimisha sikukuu za kitaifa
Hatari sanaDamu ya mtu inanuka Sheikh.
Kitu kibaya kabisa ni pale unapotuaminisha na kutaka kuuaminisha ulimwengu kwamba hakukua na mauaji ya raia kwa kuviminya vyombo vya habari,kuzika maiti kibabe na kuficha ushaidi!Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi kutawala nchi ambayo watu wamekukataa.
Hapo tunasubiri tu na hao wakuu wa majeshi wakuchoke kisha utabaki peke yako mtu kati.
Kuna watu wapuuzi sana wanatetea ujinga. CIC ndio mwenye maamuzi kauli ya mwisho. Anaweza kusema hapana.Kuna presidential powers ambazo haziwezi kuwa delegated. CIC powers fit that bill!