Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 43,349 Reaction score 104,110 Nov 23, 2025 #21 Hayo mauaji yamegusa kila mwananchi, hata hao wanajeshi kuna ndugu zao wamepigwa risasi. Amani ipi sasa atakuwa nayo? Aitoe wapi?
Hayo mauaji yamegusa kila mwananchi, hata hao wanajeshi kuna ndugu zao wamepigwa risasi. Amani ipi sasa atakuwa nayo? Aitoe wapi?
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,617 Reaction score 10,524 Nov 23, 2025 #22 Tatizo watanzania tunachonga sana mitandaoni lakini field videndo 0. Yaani kwenye match: PASS 1000,000--ON TATGET 0. No attempt hata moja mpaka sasa!!
Tatizo watanzania tunachonga sana mitandaoni lakini field videndo 0. Yaani kwenye match: PASS 1000,000--ON TATGET 0. No attempt hata moja mpaka sasa!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 23, 2025 #23 Muda huongea... Cc: Mahondaw
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Nov 23, 2025 #24 Vp G20 Summit alienda??? Ova
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,297 Nov 23, 2025 #25 Jeshi limekuwa la ajabu,yani mtu anaua watu katika wingi ule wao wapo wamekaa tu wanaangalia! And then wanaendelea kumtii! Watanzania pambanieni nchi yenu wenyewe hakuna wa kuwasaidia nawaambia.
Jeshi limekuwa la ajabu,yani mtu anaua watu katika wingi ule wao wapo wamekaa tu wanaangalia! And then wanaendelea kumtii! Watanzania pambanieni nchi yenu wenyewe hakuna wa kuwasaidia nawaambia.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Nov 23, 2025 #26 Kuna kitu anajivunia sio bure