Pharmacy
Member
- Jul 13, 2021
- 66
- 81
Yes kabisa maana mtu anaona Ni upuuzi mtupu,,,Haya mambo ndo huwa yanasababisha watu kujichukulia sheria mkononi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kabisa maana mtu anaona Ni upuuzi mtupu,,,Haya mambo ndo huwa yanasababisha watu kujichukulia sheria mkononi.
Rufaa hiyo.
Haya mambo yanasababisha watu kujichukulia sheria mkononi.
Mambo km haya ya kiwaki ndo yanasababisha watu kufanya mauaji..!!
SahihiHapana, Kila Kesi inaamuliwa kulingana na Ushahidi uliopo katika Kesi husika.
Kumbuka: Siku hizi kuna visa vingi Sana vya uhasama katika Jamii, zipo baadhi ya Kesi ni kweli kabisa kwamba Watu wamekuwa wakibambikiwa Kesi kutokana na kuwepo kwa chuki binafsi kati ya mtu na mtu, uhasama ni mkubwa sana katika Jamii Siku hizi.
Hata wewe unaweza kuja kusingiziwa au Kubambikiwa tuhuma mbaya za ubakaji, Mauaji au hata kupewa Kesi ya robbery.
Usifikiri kwamba Watu wote kabisa waliopo jela kweli ni Wahalifu, wengine ni wahanga wa vitendo vya Kubambikiwa Kesi za uwongo.
Hapana, Kila Kesi inaamuliwa kulingana na Ushahidi uliopo katika Kesi husika.
Kumbuka: Siku hizi kuna visa vingi Sana vya uhasama katika Jamii, zipo baadhi ya Kesi ni kweli kabisa kwamba Watu wamekuwa wakibambikiwa Kesi kutokana na kuwepo kwa chuki binafsi kati ya mtu na mtu, uhasama ni mkubwa sana katika Jamii Siku hizi.
Hata wewe unaweza kuja kusingiziwa au Kubambikiwa tuhuma mbaya za ubakaji, Mauaji au hata kupewa Kesi ya robbery.
Usifikiri kwamba Watu wote kabisa waliopo jela kweli ni Wahalifu, wengine ni wahanga wa vitendo vya Kubambikiwa Kesi za uwongo.
hebu tueleze ilikuwaje mlimtuhumu huyo kijana?Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.
Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha shughuli za kutupatia kipato na kwenda Mahakamani ili tuone haki ya mtoto wetu kama itapatikana.
Mungu sio Athumani tukiwa tunaelekea kukata tamaa kutokana na shauri kusikilizwa kwa muda mrefu, hukumu ilitolewa jambo ambalo lilitupa faraja kutokana na gharama za nauli na muda mwingi tulivyokuwa tumetumia kwenda Mahakamani.
Hukumu iliyotolewa ni kwamba mtuhumiwa alitiwa hatiani kuhusika na kosa alilokuwa anatuhumiwa nalo. Hukumu hiyo kwetu ilileta nuru, faraja na kutufuta machozi tukiamini haki imetendeka baada ya awali kuhisi kuna mazingira ya danadana ambayo yalifanya haki kucheleweshwa.
Mshtakiwa baada ya kutiwa hatiani alihukumiwa kwenda jela miaka 30, ambapo hadi sasa ni takribani miezi mitano imepita.
Katika hali ya kusikitisha nuru imetoweka baada ya kuanza kumuona mtuhumiwa mtaani akiishi kama raia huru, ni kwa mara kadhaa tumemuona mtuhumiwa huyo huku jamaa zake wakifurahia kutoka gerezani.
Mimi sio mtaalamu zaidi wa Sheria lakini napata ugumu kuelewa kama Mtu aliyehukumiwa anaweza kurejea mtaani bila kushinda rufaa au kutolewa kwa kuzingatia taratibu nyingine za kisheria ikiwemo msamaha wa Rais.
Nimeshindwa kuweka taarifa zote kwakina ikiwemo namba ya kesi yenyewe na jina la mtuhumiwa ili kuepuka uwezekano wa walioshiriki mchezo huo kinyume kutopata fursa ya kumrejesha mtuhumiwa gerezani kupoteza ushahidi lakini nikihakikishiwa usalama na haki kutendeka naweza kutoa ushirikiano.
Kutokana na kile nilichokieleza naomba kama kuna wataalamu wanisadie kuelewa ni kwa namna gani mtuhumiwa anaweza kuwa uraiani tofauti na taratibu nilizoeleza, lakini vipi natamani kufahamu aina ya wafungwa ambao unufaika na msamaha wa Rais.
Kwa mwenendo huo napata mashaka kama watuhumiwa tunaoambiwa wamehukumiwa kama wapo ndani inavyotakiwa uenda wengine wapo nje tena kinyume na Sheria, KWAKWELI NIMEOGOPA!
Siku hz naona kama kesi ya ubakaji au kumpa mimba mwanafunz sio ngumu kihivyo,wengi naona wapo mtaan tu pamoja na kukutwa na hatia
Yawezekana kabisa huyo Mtu ameshinda katika Kesi ya Rufaa.Wanasemaga "No one is above the Law"...
Ila kiuhalisia, "The Law is like spider web, a weak will stuck but strong one will pass through"...
Si ajabu ukirejea utapewa kesi ya madai.
Usivunjike moyo, endea kupambania haki ya mwanao
Mcheki Waziri Dorothy Gwajima atakusaidia. Namba yake 0765 345777Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.
Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha shughuli za kutupatia kipato na kwenda Mahakamani ili tuone haki ya mtoto wetu kama itapatikana.
Mungu sio Athumani tukiwa tunaelekea kukata tamaa kutokana na shauri kusikilizwa kwa muda mrefu, hukumu ilitolewa jambo ambalo lilitupa faraja kutokana na gharama za nauli na muda mwingi tulivyokuwa tumetumia kwenda Mahakamani.
Hukumu iliyotolewa ni kwamba mtuhumiwa alitiwa hatiani kuhusika na kosa alilokuwa anatuhumiwa nalo. Hukumu hiyo kwetu ilileta nuru, faraja na kutufuta machozi tukiamini haki imetendeka baada ya awali kuhisi kuna mazingira ya danadana ambayo yalifanya haki kucheleweshwa.
Mshtakiwa baada ya kutiwa hatiani alihukumiwa kwenda jela miaka 30, ambapo hadi sasa ni takribani miezi mitano imepita.
Katika hali ya kusikitisha nuru imetoweka baada ya kuanza kumuona mtuhumiwa mtaani akiishi kama raia huru, ni kwa mara kadhaa tumemuona mtuhumiwa huyo huku jamaa zake wakifurahia kutoka gerezani.
Mimi sio mtaalamu zaidi wa Sheria lakini napata ugumu kuelewa kama Mtu aliyehukumiwa anaweza kurejea mtaani bila kushinda rufaa au kutolewa kwa kuzingatia taratibu nyingine za kisheria ikiwemo msamaha wa Rais.
Nimeshindwa kuweka taarifa zote kwakina ikiwemo namba ya kesi yenyewe na jina la mtuhumiwa ili kuepuka uwezekano wa walioshiriki mchezo huo kinyume kutopata fursa ya kumrejesha mtuhumiwa gerezani kupoteza ushahidi lakini nikihakikishiwa usalama na haki kutendeka naweza kutoa ushirikiano.
Kutokana na kile nilichokieleza naomba kama kuna wataalamu wanisadie kuelewa ni kwa namna gani mtuhumiwa anaweza kuwa uraiani tofauti na taratibu nilizoeleza, lakini vipi natamani kufahamu aina ya wafungwa ambao unufaika na msamaha wa Rais.
Kwa mwenendo huo napata mashaka kama watuhumiwa tunaoambiwa wamehukumiwa kama wapo ndani inavyotakiwa uenda wengine wapo nje tena kinyume na Sheria, KWAKWELI NIMEOGOPA!
Atoroke gerezan halaf aishi mtaani kwa uhuru kbs ivi unawachukuliaje askari wajela jela ? 😀Kama unauhakika hakukata rufaa jaribu kwenda gereza husika alofungwa jaribu kuulizia inawezekana ametoloka piaa