Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara.
- Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua.
- Huduma za jamii kiduchu, Hata Mch. Msigwa anajua
- Mikopo mabenki riba juu sana, Hata Dr. Mwigulu anajua.
- Ghalama za maisha juu sana, Hata Abdul anajua.
- Huduma za afya juu sana hata Ummy shahidi.
- Ushoga na biashara ya ngono sababu ya ugumu hata afande Mallya anajua.
- Mkulima ananyonywa hata Dr. Bashiru anajua.
- Nchi imejaa madeni hata Job Ndugai anajua.
- Mitaala ya elimu haieleweki hata Prof. Mkenda anajua.
- Wahadhili wanatamani kuwa wanasiasa hata Prof Kabudi anajua.