Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ulivyo wa hovyo eti unakuja kujimwambafai humu JF, umemkomoa!! Ulikuwa unampenda kweli? Na kama hukumpenda kwa nini ulikuwa ukimpanulia ma.pa.ja?Alijifanya kidume, anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza lock up.
Sasa hivi eti ndio akili zinamkaa sawa anajifanya kunitumia wajumbe wamuombee msamaha.
Ukipata kibano utatangulia tu, kama yule aliyekatwa mikono, mtu anakutishia nitakukomesha utampeleka wapi ? Au utaondoka tu kwenu bila kuripot akikuvizia ndani kama dish lake limeyumba apelekwe wakalinyooshe hakuna namna.Polisi sio sehemunzuri kumpeleka mwenzio km mmechokana muachane tu jamn mpenzwako ukamlaze ndani kwel
Eti teke la ubavuni? Kaipata halali yake hukoUmenichekesha sana mkuu..Teka la mbavu..ila jamaa nae aliwaza nini kunyanyua kabisaa mguu mbele ya mwanamke??
Kibao kinatosha kabisaaa af hata namna ya kujitetea ukimchapa kibao ni rahis tu kwamba hasira zilikupanda ukashindwa kuzuia mkono.....ila teke??!!! Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo utaenda kufia humo na wakajua kosa lako ni lile utawajua tu.Nikitoka humu ndani nikija huko nakudunda tena.
Hawa wanajiongelesha tu hapaUkipata kibano utatangulia tu, kama yule aliyekatwa mikono, mtu anakutishia nitakukomesha utampeleka wapi ? Au utaondoka tu kwenu bila kuripot akikuvizia ndani kama dish lake limeyumba apelekwe wakalinyooshe hakuna namna.
Umepata laana ya milele kwa kumpeleka huyo jamaa yako lockupHawa wanajiongelesha tu hapa