Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sasa kumlaza lockup ndo suluhisho ili asikupige tena?? Au unataka kuogopwa!?
Kesho tu unaenda kumtoa mwenyewe, anakulainisha, anakugonga maisha yanaendelea. Mwisho wa siku utamuomba msamaha.
Umekurupuka kama alivyokurupuka mumeo, ninyi ni wakurupukaji hivyo ni mikurupoko².