Ila cha kushangaza kuna timu imeikimbia!!
Tutajua nani amekimbia tarehe mpya ya mechi itakapotajwaIla cha kushangaza kuna timu imeikimbia!!
Baada tu ya Moussa Camara na Chemalone Fondo kupona majeraha yao siyo!! Mbona Yanga hata bila ya akina Yao Kwasi, inacheza tu bila hofu yoyote!Tutajua nani amekimbia tarehe mpya ya mechi itakapotajwa
Ndio kwahiyo mlitaka muwafunge halafu mjisifie mmewafunga kwa uwezo wenu na mna kikosi bora, ilihali huwa ni bahati tu kwenu kuwa kila mnapokutana na simba kikosi chao kinakuwa hakijakamilika, acheni kikosi chao chote kikamilike halafu mkiwafunga hapo ndio mjisifie sasa, hata ninyi mlipofungwa na azam na tabora mlisingizia kuna wachezaji hawakuwepo, hao kina yao kouassi wasipokuwepo inategemea mnacheza na kina nani tusidanganyane hii ligi ya bongo hakuna timu yenye kikosi kipanaBaada tu ya Moussa Camara na Chemalone Fondo kupona majeraha yao siyo!! Mbona Yanga hata bila ya akina Yao Kwasi, inacheza tu bila hofu yoyote!
Ukiangalia Comment za wanasimba nyingi ni ndeeeefu[emoji16] Au basiNdio kwahiyo mlitaka muwafunge halafu mjisifie mmewafunga kwa uwezo wenu na mna kikosi bora, ilihali huwa ni bahati tu kwenu kuwa kila mnapokutana na simba kikosi chao kinakuwa hakijakamilika, acheni kikosi chao chote kikamilike halafu mkiwafunga hapo ndio mjisifie sasa, hata ninyi mlipofungwa na azam na tabora mlisingizia kuna wachezaji hawakuwepo, hao kina yao kouassi wasipokuwepo inategemea mnacheza na kina nani tusidanganyane hii ligi ya bongo hakuna timu yenye kikosi kipana
Hili hata siijibu maana naona it's too lowBaada tu ya Moussa Camara na Chemalone Fondo kupona majeraha yao siyo!! Mbona Yanga hata bila ya akina Yao Kwasi, inacheza tu bila hofu yoyote!
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"
WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize anaweka kambani chuma cha tatu kwa Yanga [emoji119]
Dk 38, Yanga 3 - 1 Coastal
#KishambaUPDATESView attachment 3268823
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ila sababu ya makomandoo kuwazuia kuingia uwanjani, ndiyo ina mashiko! Aisee nyinyi ndugu zetu kuna mtu atakuwa amewaroga! Siyo bure.Hili hata siijibu maana naona it's too low
Mtani akaona atumie njia fupi ya ku escape from sobiboYanga siyo poa hata kidogo! Ukiona mpaka mpinzani anakukimbia, siyo mchezo.
Sasa muwalqumu bodi ya usajili Kwa kuwaletea magarasaNdio kwahiyo mlitaka muwafunge halafu mjisifie mmewafunga kwa uwezo wenu na mna kikosi bora, ilihali huwa ni bahati tu kwenu kuwa kila mnapokutana na simba kikosi chao kinakuwa hakijakamilika, acheni kikosi chao chote kikamilike halafu mkiwafunga hapo ndio mjisifie sasa, hata ninyi mlipofungwa na azam na tabora mlisingizia kuna wachezaji hawakuwepo, hao kina yao kouassi wasipokuwepo inategemea mnacheza na kina nani tusidanganyane hii ligi ya bongo hakuna timu yenye kikosi kipana
Man u sijui inazimwi ganNi jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
Comment ndefu kama kipenyo cha dunia halafu imejaa mashudu tupu.Ukiangalia Comment za wanasimba nyingi ni ndeeeefu[emoji16] Au basi
That fool has a very low IQ ..I wonder his/her life looks likeHili hata siijibu maana naona it's too low
Anyone bounded to young Africans is a genius by natureThat fool has a very low IQ ..I wonder his/her life looks like
Nyuma mwiko wamebaki kutapatapa tu baada ya kuona siyorahisi kupata point 3 za mezani"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"
WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize anaweka kambani chuma cha tatu kwa Yanga [emoji119]
Dk 38, Yanga 3 - 1 Coastal
#KishambaUPDATESView attachment 3268823
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Bora mashabiki wa simba wanaoishia kucomment tu, mashabiki wa yanga hadi sasa wameshaanzisha nyuzi takriban elfu moja za kuwasema simba, na zote hizo ni magazeti na majarida yaliyojaa chuki, mihemko, hasira, wivu, nkUkiangalia Comment za wanasimba nyingi ni ndeeeefu[emoji16] Au basi