Alikamwe: Tutaipongeza kila timu ikitokea kucheza na Yanga, wengine hukimbia

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"

WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize anaweka kambani chuma cha tatu kwa Yanga [emoji119]

Dk 38, Yanga 3 - 1 Coastal

#KishambaUPDATES
1741851147203.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Baada tu ya Moussa Camara na Chemalone Fondo kupona majeraha yao siyo!! Mbona Yanga hata bila ya akina Yao Kwasi, inacheza tu bila hofu yoyote!
Ndio kwahiyo mlitaka muwafunge halafu mjisifie mmewafunga kwa uwezo wenu na mna kikosi bora, ilihali huwa ni bahati tu kwenu kuwa kila mnapokutana na simba kikosi chao kinakuwa hakijakamilika, acheni kikosi chao chote kikamilike halafu mkiwafunga hapo ndio mjisifie sasa, hata ninyi mlipofungwa na azam na tabora mlisingizia kuna wachezaji hawakuwepo, hao kina yao kouassi wasipokuwepo inategemea mnacheza na kina nani tusidanganyane hii ligi ya bongo hakuna timu yenye kikosi kipana
 
Ukiangalia Comment za wanasimba nyingi ni ndeeeefu[emoji16] Au basi
 
Hili hata siijibu maana naona it's too low
 
"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"

WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize anaweka kambani chuma cha tatu kwa Yanga [emoji119]

Dk 38, Yanga 3 - 1 Coastal

#KishambaUPDATESView attachment 3268823

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
 
Hili hata siijibu maana naona it's too low
Ila sababu ya makomandoo kuwazuia kuingia uwanjani, ndiyo ina mashiko! Aisee nyinyi ndugu zetu kuna mtu atakuwa amewaroga! Siyo bure.
 
Ndio kwahiyo mlitaka muwafunge halafu mjisifie mmewafunga kwa uwezo wenu na mna kikosi bora, ilihali huwa ni bahati tu kwenu kuwa kila mnapokutana na simba kikosi chao kinakuwa hakijakamilika, acheni kikosi chao chote kikamilike halafu mkiwafunga hapo ndio mjisifie sasa, hata ninyi mlipofungwa na azam na tabora mlisingizia kuna wachezaji hawakuwepo, hao kina yao kouassi wasipokuwepo inategemea mnacheza na kina nani tusidanganyane hii ligi ya bongo hakuna timu yenye kikosi kipana
Sasa muwalqumu bodi ya usajili Kwa kuwaletea magarasa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona"

WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize anaweka kambani chuma cha tatu kwa Yanga [emoji119]

Dk 38, Yanga 3 - 1 Coastal

#KishambaUPDATESView attachment 3268823

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nyuma mwiko wamebaki kutapatapa tu baada ya kuona siyorahisi kupata point 3 za mezani
 
Ukiangalia Comment za wanasimba nyingi ni ndeeeefu[emoji16] Au basi
Bora mashabiki wa simba wanaoishia kucomment tu, mashabiki wa yanga hadi sasa wameshaanzisha nyuzi takriban elfu moja za kuwasema simba, na zote hizo ni magazeti na majarida yaliyojaa chuki, mihemko, hasira, wivu, nk
 
Back
Top Bottom