Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Depend na mwanamke yupi, tatizo sheria za sasa zimelenga kumnufaisha mwanamke hata ikitokea lolote mwanaume hadhaminiwiBullshit ndoa ...bullshit women wa dotcom
Depend na mwanamke yupi, tatizo sheria za sasa zimelenga kumnufaisha mwanamke hata ikitokea lolote mwanaume hadhaminiwiBullshit ndoa ...bullshit women wa dotcom
unasema depend na mwanaume then unasema sheria zina mfava mwanamke hehehehDepend na mwanamke yupi, tatizo sheria za sasa zimelenga kumnufaisha mwanamke hata ikitokea lolote mwanaume hadhaminiwi
Kwanini maeneo yenye waislamu wengi yana migogoro mingi ya ndoaBaada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini.
"Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila mtu anaona wewe umeshindwa kulea watoto’. Niliumia kimya kimya kwa kauli zako za kifedhuli, lakini kwa sababu watoto ni wa damu yangu, niliwacha kwako kwa matumaini kuwa utawalea kwa moyo wa upendo na kuwapa hayo maisha bora ambayo kwangu ulisema hayapo, shule za gharama n.k
Leo hii unanirudia kudai matunzo na mali zangu na hiyo bado siyo dharau ya kwanza.
Wakati tulipoachana ulisema huna haja ya chochote na unathamini mchango wangu. Ulikataa hata nyumba kwa hiari yako mwenyewe. Leo, baada ya miaka minne, unakuja na madai kama vile hayo maneno hayajawahi kusemwa katika kinywa chako. Sijashindwa, ila hisia zinaniambia naumiza watoto, watu wa karibu yako hawawezi kukushauri vitu vya msingi coz wanaona namna ninavyojitoa Kwa watoto wangu 'WANACHUKIZWA' wanatafuta namna ya kuumiza watoto, na mtu pekee anaeweza kuwasaidia hilo lengo ni wewe, UMEJAZWA UJINGA, umejaa kwenye mfumo wao.
Lakini sasa, sitaki tena kuishi kwa mashindano ya roho mbaya na kinyongo.
Chukua kila kitu. Sina haja ya mali ya kuandamana na kelele na unafiki. Nitajitahidi kwa hali na mali kutoa msaada kwa watoto wetu, si kwa sababu wewe unataka nifanye hivyo, bali kwa sababu ni wajibu wangu kama mzazi na sio vinginevyo.
Naanza upya, na moyo mweupe. Ulichokikataa kwa heshima, usije kukidai tena kwa tamaa. Ubarikiwe na dhamira yako."
Unasema ulikwenda wa Shehe na alikwambia huna haki katika ile nyumba ki'ilmu ya dini yetu ya Kiislam, umeamua kuwa mgalatia na kuishi bila kufata misingi ya dini, sawa
Njoo Tarehe 10 July 2025 Mahakamani uchukue unachohitaji
Stress zikikukaba mbona utaandika tu mkuu, hizi mambo huwa hazina mbabe coz hata goliati alidogodishwa.Mwanaume una mwandikia PDF yote iyo mwanamke ?
Anashangaa pdf, watu wanapigwa tukio hadi wanaandika nyimbo kwa ajili ya wenza waoStress zikikukaba mbona utaandika tu mkuu, hizi mambo huwa hazina mbabe coz hata goliati alidogodishwa.
Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini.
"Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila mtu anaona wewe umeshindwa kulea watoto’. Niliumia kimya kimya kwa kauli zako za kifedhuli, lakini kwa sababu watoto ni wa damu yangu, niliwacha kwako kwa matumaini kuwa utawalea kwa moyo wa upendo na kuwapa hayo maisha bora ambayo kwangu ulisema hayapo, shule za gharama n.k
Leo hii unanirudia kudai matunzo na mali zangu na hiyo bado siyo dharau ya kwanza.
Wakati tulipoachana ulisema huna haja ya chochote na unathamini mchango wangu. Ulikataa hata nyumba kwa hiari yako mwenyewe. Leo, baada ya miaka minne, unakuja na madai kama vile hayo maneno hayajawahi kusemwa katika kinywa chako. Sijashindwa, ila hisia zinaniambia naumiza watoto, watu wa karibu yako hawawezi kukushauri vitu vya msingi coz wanaona namna ninavyojitoa Kwa watoto wangu 'WANACHUKIZWA' wanatafuta namna ya kuumiza watoto, na mtu pekee anaeweza kuwasaidia hilo lengo ni wewe, UMEJAZWA UJINGA, umejaa kwenye mfumo wao.
Lakini sasa, sitaki tena kuishi kwa mashindano ya roho mbaya na kinyongo.
Chukua kila kitu. Sina haja ya mali ya kuandamana na kelele na unafiki. Nitajitahidi kwa hali na mali kutoa msaada kwa watoto wetu, si kwa sababu wewe unataka nifanye hivyo, bali kwa sababu ni wajibu wangu kama mzazi na sio vinginevyo.
Naanza upya, na moyo mweupe. Ulichokikataa kwa heshima, usije kukidai tena kwa tamaa. Ubarikiwe na dhamira yako."
Unasema ulikwenda wa Shehe na alikwambia huna haki katika ile nyumba ki'ilmu ya dini yetu ya Kiislam, umeamua kuwa mgalatia na kuishi bila kufata misingi ya dini, sawa
Njoo Tarehe 10 July 2025 Mahakamani uchukue unachohitaji
Yani ujisumbue kucheza na hisia za mwanamke wa kisasa? Zamani ndoa ilikua ni heshima na sifa kwahiyo wanawake walikua wanavumilia mambo mengi. Sasa hivi ukimnasa banzi moja tu kesho ustawi wa jamiiHamna kitu kama hiko,wanawake tunaendehswa na hisia,wakati wanaachana alikua amejaa hasira na kutotaka kuonekana anadhiki au majukumu yanamshinda. Sasa kaingia ground mambo ni tafu ndo hapo sasa anaona alifanya ujinga bora wagawane apate boost 🤣
Ila wanaume wa kizazi hiki jamani uanaume umewashinda kabisaaa mmeshindwa kabisa kucheza na saikolojia ya wanawake,wazee wenu walishindwa kabisaa kuwarithisha trick zao.
😄 🤣 😂Pole. Hakustahili barua ndefu hivyo. Maneno machache tu yangetosha.
" Wewe ni mwanamke ndumilakuwili, unabadilika badilika, Tarehe 10 njoo mahakamani"
na ndo maana msiingie, kwanza tu kuingia kwenye ndoa tyr inaonesha wewe ni zoba.Unaweza kudhani ni zoba ila ukiingia kwenye field ya ndoa utaelewa..
Kwann mapadre hawaoi na wanafungisha ndoa??Kwanini maeneo yenye waislamu wengi yana migogoro mingi ya ndoa
?
USSR
Nimekosa cha kushauri ha
Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka.
Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...
Hiyo ni mbinu yake ya mchezo, alikataa mali ili baadae arudi iwe ndo mlango wa kupitia kurudi kwako na usishangae mkarudiana, wanawake hutumia akili mingi sana kwenye hizo mambo
Ikikamilika nitaleta hapa tenaPole mkuu, uje utupe muendelezo.
Pole. Hakustahili barua ndefu hivyo. Maneno machache tu yangetosha.
" Wewe ni mwanamke ndumilakuwili, unabadilika badilika, Tarehe 10 njoo mahakamaN
Nimepokea.Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...
Soma upya hamna mahaki nimesema depend na mwanaumeunasema de
unasema depend na mwanaume then unasema sheria zina mfava mwanamke heheheh
Mimi nimeamua kupigana vita baridi kuacha mali kwenda kufocus kutafuta mali, muda wa kushinda mahakamani kusimama mbele ya hakimu na kupigazana kelele na mtu nina watoto nae huo u'strong nakuachia wewe Mkuu.. Nyumba nilijenga kwa nguvu zangu na naamini nguvu ya kujenga hata mbili nyingine ninazo Mkuu.na ndo maana msiingie, kwanza tu kuingia kwenye ndoa tyr inaonesha wewe ni zoba.
Zalisha, lea, that's how modern real men behave.
Wanaume wenzetu wamekua very weak wanasema eti ngoja nioe ili tusaidizane, my friend dunia ya sasa inamtaka mwanaume awe strong mara tano zaidi ya zamani. Kama unaoa ili kuziba weaknesses zako, sijui genye, sijui kusaidiwa majukumu, you are just as weak as shit. Ni huzuni kuona jitu zima lina-fall in love kama li
Bro acha ujeuri umeelezwa kitu cha ukweli kbs,Otherwise husingeleta humu ungemaliza mwenyewe,Wewe ni dhaifu sana bro na nikwel sio dhambi ila dhaifu ni dhaifu tu.Pokea maoni ya jamaa sio watu wote tutakushauri unavotaka broMimi nimeamua kupigana vita baridi kuacha mali kwenda kufocus kutafuta mali, muda wa kushinda mahakamani kusimama mbele ya hakimu na kupigazana kelele na mtu nina watoto nae huo u'strong nakuachia wewe Mkuu.. Nyumba nilijenga kwa nguvu zangu na naamini nguvu ya kujenga hata mbili nyingine ninazo Mkuu.
Ningekuwa mtu dhaifu ningeenda kushinda kwenye korido za Mahakama na vilinge vya waganga kugombania nyumba ambayo hata kaburini siingi nayo.
Halafu sio dhambi kuwa dhaifu, wote tungekuwa strong nadhani tungechinjana, watu strong wanahitaji watu dhaifu kama mimi kutunza amani.
Mtu Strong nadhani muda huu utakuwa barabarani na mabango ya No Reforms No Election kupinga LISSU kuwa gerezani, au na wewe ni wale wale wa Mama anaupiga mwingi? U'strong upo kwenye shingo za watu kuwanyonga na kuwatupa Katavi?
Keyboard Warriors ndo tumejaa humu kwenye mitandao