Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

unasema de
Depend na mwanamke yupi, tatizo sheria za sasa zimelenga kumnufaisha mwanamke hata ikitokea lolote mwanaume hadhaminiwi
unasema depend na mwanaume then unasema sheria zina mfava mwanamke heheheh
 
Pole. Hakustahili barua ndefu hivyo. Maneno machache tu yangetosha.
" Wewe ni mwanamke ndumilakuwili, unabadilika badilika, Tarehe 10 njoo mahakamani"
 
Kwanini maeneo yenye waislamu wengi yana migogoro mingi ya ndoa
?
USSR
 
Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...
 
Yani ujisumbue kucheza na hisia za mwanamke wa kisasa? Zamani ndoa ilikua ni heshima na sifa kwahiyo wanawake walikua wanavumilia mambo mengi. Sasa hivi ukimnasa banzi moja tu kesho ustawi wa jamii
 
Pole. Hakustahili barua ndefu hivyo. Maneno machache tu yangetosha.
" Wewe ni mwanamke ndumilakuwili, unabadilika badilika, Tarehe 10 njoo mahakamani"
😄 🤣 😂
Inaonekana wakati unasoma shule ulikua mkali sana katika kuandika SIMU YA BARUA
 
Unaweza kudhani ni zoba ila ukiingia kwenye field ya ndoa utaelewa..
na ndo maana msiingie, kwanza tu kuingia kwenye ndoa tyr inaonesha wewe ni zoba.

Zalisha, lea, that's how modern real men behave.

Wanaume wenzetu wamekua very weak wanasema eti ngoja nioe ili tusaidizane, my friend dunia ya sasa inamtaka mwanaume awe strong mara tano zaidi ya zamani. Kama unaoa ili kuziba weaknesses zako, sijui genye, sijui kusaidiwa majukumu, you are just as weak as shit. Ni huzuni kuona jitu zima lina-fall in love kama litoto
 
Nimekosa cha kushauri ha

Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka.

Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...

Hiyo ni mbinu yake ya mchezo, alikataa mali ili baadae arudi iwe ndo mlango wa kupitia kurudi kwako na usishangae mkarudiana, wanawake hutumia akili mingi sana kwenye hizo mambo

Pole mkuu, uje utupe muendelezo.
Ikikamilika nitaleta hapa tena
 
Pole. Hakustahili barua ndefu hivyo. Maneno machache tu yangetosha.
" Wewe ni mwanamke ndumilakuwili, unabadilika badilika, Tarehe 10 njoo mahakamaN

Wewe ni dhaifu na unapenda kuonewa huruma,Unaandikaje ujumbe mrefu kias icho...Yan mwanamke anakuzidi ustahimilivu,Eti njoo tarehe 10 uchukue unachotaka...
Nimepokea.
 
Mimi nimeamua kupigana vita baridi kuacha mali kwenda kufocus kutafuta mali, muda wa kushinda mahakamani kusimama mbele ya hakimu na kupigazana kelele na mtu nina watoto nae huo u'strong nakuachia wewe Mkuu.. Nyumba nilijenga kwa nguvu zangu na naamini nguvu ya kujenga hata mbili nyingine ninazo Mkuu.

Ningekuwa mtu dhaifu ningeenda kushinda kwenye korido za Mahakama na vilinge vya waganga kugombania nyumba ambayo hata kaburini siingi nayo.

Halafu sio dhambi kuwa dhaifu, wote tungekuwa strong nadhani tungechinjana, watu strong wanahitaji watu dhaifu kama mimi kutunza amani.

Mtu Strong nadhani muda huu utakuwa barabarani na mabango ya No Reforms No Election kupinga LISSU kuwa gerezani, au na wewe ni wale wale wa Mama anaupiga mwingi? U'strong upo kwenye shingo za watu kuwanyonga na kuwatupa Katavi?


Keyboard Warriors ndo tumejaa humu kwenye mitandao
 
Bro acha ujeuri umeelezwa kitu cha ukweli kbs,Otherwise husingeleta humu ungemaliza mwenyewe,Wewe ni dhaifu sana bro na nikwel sio dhambi ila dhaifu ni dhaifu tu.Pokea maoni ya jamaa sio watu wote tutakushauri unavotaka bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…