Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

Bro acha ujeuri umeelezwa kitu cha ukweli kbs,Otherwise husingeleta humu ungemaliza mwenyewe,Wewe ni dhaifu sana bro na nikwel sio dhambi ila dhaifu ni dhaifu tu.Pokea maoni ya jamaa sio watu wote tutakushauri unavotaka bro
Hakuna sehemu nimekataa mimi sio dhaifu au andiko langu limeonesha kujimwambafai kama mimi ni chuma cha reli..!
 
Mgalatia😎
 
Achana na useless comments kama hizi!

Kifupi wanawake wa kibongo bongo waliowengi hawajui kuishi mafanikio,wanajua kuishinshida tu!

Unakuta wakati mmepanga ana adabu kama zote,ukisha Jenga na kuanza kupata vi hela TU anaanza ubinafsi na kuhisi anaweza ishi mwenyewe na maneno ya kipuuzi yanaanza kumtoka !

Ukiamua kukaa kimya ujifanyie yako Bado ataendelea kukuchokonoa ajue unawaza nini!!

Ukiamua kuoa tena anaanzisha makelele kibao,halafu maisha yanamshinda coz waliomdanganya hawawi pamoja name akisha achika ataonekana ni mkosi Kwa jamaa zake!!

Michepuko inpenda walioolewa na sio single mamas coz hao ni kausha damu !!

Ulichopitia nakielewa sana,wewe mwachie baadhi vingine dhibiti coz atavitupa vyote halafu uanze kutafutia watoto upya!hawajui kutunza Mali hao wanajua visirani tu!!

Acha hasira,mwambie ishi hapa,miliki hiki au kile kwaajili ya kipato ukiwa na shida utanambia!!!

Usiangushe ghorofa ulilojenga Kwa tabu!
 

Usimwachie chochote, inapigwa nusu
 
Andikia hizo mali wanao..acha iyo nyang'au iendelee kuangaika huko
 
Umeamua kabisa kuandika shairi la kuacha na mke wako au sio 💩💩 wanaume wenye maamuzi ya kiume tunazidi kubaki wachache duniani
 
Hao watu ni hatari sana.
Wana waalimu wengi sana kipindi mpo naye kwenye ndoa.

Kikubwa usimuachie mali yote 100%. Sehemu kubwa ya mali hiyo milikisha wanao ili yeye ale kwa watoto. Kiasi nawe uwe na haki nazo kupitia kwa watoto hao hao.

Jitahidi watoto wakulie malezi yako. Vinginevyo watalishwa sumu hutaamini.
 
Utamu wa ndoa sio ? Pia una kauzoba flani ! Mtu amesepa 4yrs then unakuja kumnyenyekea for what ? Mali ? Ziandikie wanao , full stop
Kabisaaaaa.. yan miaka mi 4 imepita kasha zururaaa ndio sasa kaona acha nirud kwa boya langu nikalizingue..
Hapa hii move ilibid amalizane nayo, na kama mahakama hayo ndio yalikua maamuzi bas utakua ni ujinga wa hali ya juu kufanya uamuzi huu bwana Samadebe
 
Jamaa halijitambui kabisa, mtu keshahangaika yamemshinda anarudi mgawane mali ? Hio hapana, huo ni urithi wa watoto !
 
Sio kweli wanaume mkiwa katika dhiki mnakua na adabu zote, sasa mpate vijisenti mabega yanawasimama kama hanger za machinga , hamsikii la muazini wala mnadi swala. Hapo mkikutana na watoto wa farao na wao vita ni vita mura!
 
Mkuu kuoa Kwa Dunia ya Sasa No aisee tutombane tu Kila mtu akae kwake ikitokea mimba tutalea tu ila kila mtu akae kwake.
 
Acrimony cheki hiyo movie ya 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…