Nina wasiwasi sana na B T kipengele hiki.Maongezi kuanza kumbe sauti ni ya ………..
Britanica Encyclopedia shikamoooooooooooo du nimetoka kapa Nisha du hiii code ingekuwa paper ningeishia kuandika number ya Mtihani......hahaaaaaa,who is NishaNaaam naam naaam wewe nadhani ni mtu pekee ulomjua nisha
Britanica Encyclopedia shikamoooooooooooo du nimetoka kapa Nisha du hiii code ingekuwa paper ningeishia kuandika number ya Mtihani......hahaaaaaa,who is NishaNaaam naam naaam wewe nadhani ni mtu pekee ulomjua nisha
Bila ya tips za wadau humu, nisingeambulia hata hiyo SASHA, hapo hata namba ya mtihani hakuna haja ya kuandika au unaandika ya uongo.Britani
Britanica Encyclopedia shikamoooooooooooo du nimetoka kapa Nisha du hiii code ingekuwa paper ningeishia kuandika number ya Mtihani......hahaaaaaa,who is Nisha
Hapana ....Nisha ni mgonjwa anaetafutwa haonekani kazini kwake
Nlkua naguess n huyo piaZuhu
SureFinal episode ikitoka nistue kiongozi
Pole. Shehe mtabiri alikuwa anaonekanaje kwani?Asante mkuu,
Kumbe ni yeye japo hajakaa ki- eagle eagle.
mpaka sasa nilichoambulia ni hilo jina la SASHA hayo mengine ni kina naniWapi hujaelewa? Ila ngoja nimpigie mwanasheria wangu nione km anapokea simu 😹😹
Bila ya tips za wadau humu, nisingeambulia hata hiyo SASHA, hapo hata namba ya mtihani hakuna haja ya kuandika au unaandika ya uongo.
Kuna wanafunzi paper ikiwachenga wanafanya hivyo, hapo kapigwa maswali yote nje.Unaandika namba tu Mkuu,ili usubirie muda wa kukusanya paper..........chezea paper wewe........