britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #521
Ya leo mbona iko uchi sanaMkuu umetumia code ngumu sana. Nadhani hii unaelewa wewe mwenyewe tu
Ya leo mbona iko uchi sanaMkuu umetumia code ngumu sana. Nadhani hii unaelewa wewe mwenyewe tu
Muda ya kumalizia EpisodeBritannica saa 4 usiku atakua kamaliza mchezo
Nalogoff
Imeisha hiyo, tusubiri waliobaki wafyekwebritanicca kuna muendelezo ama tusubiri uzi mwingine?🤔🤔🤔
Code nyingi hapo zipo rahisi kama unafuatilia matukio yanayo endelea siku za karibuni.Mkuu umetumia code ngumu sana. Nadhani hii unaelewa wewe mwenyewe tu
Bado vijana kama wawili hivi boss SASHA anatakiwa awatimue kaziniImeisha hiyo, tusubiri waliobaki wafyekwe
Ule mkataba wa bilioni 67 na Mahinda tech na GLOPU) ulikuwa ni upigajiji wa kutosha. Huyo maharage ya Mbeya Chandevu na huyo Kijana wa miaka ya 70 Njanuary walifaa wafie gerezani.Amekusanya Pesa kubwa sana kutokana na GLOPU
📖Ule mkataba wa bilioni 67 na Mahindra tech na Tanesco (GLOPU) ulikuwa ni upugaji wa kutosha. Huyo maharage ya Mbeya Chande na huyo Kijana w amiaka ya 70 Njanuary walifaa wafie gerezani.
Huyo 70+ 2 Pena nae inaonekana kabisa alishakamatwa na Kampuni za simu. Kila siku alikuwa anatukana wananchi mitandaoni akijifanya yeye ndie Marketing and Sales manager akitetea ubadhirifu wa hayo makampuni.
Nadhani kitengo wamekosea sana kama wamemtaarifu Sasha hii ishu!Ya leo mbona iko uchi sana
Kakojoe ulalebritanicca kuna muendelezo ama tusubiri uzi mwingine?🤔🤔🤔
Wamemwambia si yote kuna mengine angekuwa kazirai, ndo maana Durban hakai sana anapenda Pretoria mnoNadhani kitengo wamekosea sana kama wamemtaarifu Sasha hii ishu!
Kama wapo loyal kwake wasingemwambia bali wangekua wanapambana tu kimya kimya na kumpa maelekezo Nini Cha kufanya akiuliza kwanini anajibiwa "Kwa ajili ya mstakabali ya awamu Yako ya pili 2025-2030,tukikwambia tutaharibu plan nzima"!!
Sasa wamwesha mwambia na wame strike fear of the unknowns Kwa hiyo mamba Moja Hana ujasiri tena wa kuongoza na hapo ndipo anguko lake lilipo"!
sasa bas
Kuanzia Sasa wasimwmbie Tena chochote!!
Watulie TU wapambane na wahuni na wampe maelekezo tu Nini Cha kufanya bila detail ya Nini kinaendelea!!
Hadi hapo team wahuni wameshafanikiwa Kwa asilimia kubwa coz wameleta taharuki ndani ya system!
Ubaya ubwela!Simba day!
FiksiNadhani kitengo wamekosea sana kama wamemtaarifu Sasha hii ishu!
Kama wapo loyal kwake wasingemwambia bali wangekua wanapambana tu kimya kimya na kumpa maelekezo Nini Cha kufanya akiuliza kwanini anajibiwa "Kwa ajili ya mstakabali ya awamu Yako ya pili 2025-2030,tukikwambia tutaharibu plan nzima"!!
Sasa wamwesha mwambia na wame strike fear of the unknowns Kwa hiyo mamba Moja Hana ujasiri tena wa kuongoza na hapo ndipo anguko lake lilipo"!
sasa bas
Kuanzia Sasa wasimwmbie Tena chochote!!
Watulie TU wapambane na wahuni na wampe maelekezo tu Nini Cha kufanya bila detail ya Nini kinaendelea!!
Hadi hapo team wahuni wameshafanikiwa Kwa asilimia kubwa coz wameleta taharuki ndani ya system!
Ubaya ubwela!Simba day!
Umesahau ku switch account nini ? 😂Kilichobaki hapa ni mkuu wa nchi kushirikiana na m
wanajeshi for her own safety! Hao pekee ndo wanakiapo cha dhati kumtii Rais wa jamhuri ya muungano na amiri jeshi mkuu.
Nyege zinakupunguzia uwezo wa kufikiri...Kakojoe ulale