Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Kiba mwenyw mvivu hajui kujitangaza ,kila kitu mpaka aige ,yaan sio mbunifu kabsa
 
Ali kiba inabidi aongezee watu wenye akili kwenye timu yake
 
Kiingilio hakikuwa 25,000 acheni kuongeza sifuri, ilikuwa ni buku mbili jero. Hata hivyo wagogo wanatia aibu kwa kuleta vurugu kwa hela ndogo hivyo
Unadhani wagogo wanaenda kwenye show? Dodoma wanachuo ndo waudhuriaji
 
Tatizo Diamond anamfanyia sana Kiba figisu. Ukifuatilia utagundua WCB walituma watu Dodoma kwenda kuharibu show. Lakini King akaushtukia mchezo akakataa kuperform
 
25000 kwa Dodoma na maisha yalivyo magumu hapo .!!! Too much
 
Sio kwamba promota alizingua bali management ya Kiba iliona aibu kumpandisha msanii wao wakati watu hakunaa!!

Ni kwamba show ilikosa watu kabisaa,ikabidi Ally azugezuge mpaka saa nane ndio akapanda na kukuta watu wamepungua zaidiii ya mwanzo,akasema show haipo mpaka tarehe 28,wacha watu wamrushie makopo ya bia!!

Unaambiwa karushiwa chupa haswa jana mpaka akaondoka jukwaani..picha nitawaletea
 
Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????
 
Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
 
Bad....thats very baaddd..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…