Asa unabisha nn wakat video clip ipoAcheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa unabisha nn wakat video clip ipoAcheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
Sio kwamba wewe uiweke hapa kwa faida ya wengi.Nenda kwenye page ya udaku insta wameweka video yake
Wewe ndo mbea,show ilikuwepo sasa sijui wewe hiyo dodoma unayoongelea ni kisiwa cha ukerewe au?Jana hakukua na show dodoma acha umbea wa kitoto
Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????
Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
![]()
Mkuu @ brave one hii photo siyo Dodoma ni kampala. Dodoma hajapata people kama hao na show ya Dodoma Kibaka hajapost,katazame kwa akaunti yake ya Instagram.
Nyoko weweeTatizo Diamond anamfanyia sana Kiba figisu. Ukifuatilia utagundua WCB walituma watu Dodoma kwenda kuharibu show. Lakini King akaushtukia mchezo akakataa kuperform
Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
kiba Jana ndani ya Dodoma, maybe aliogopa kuimbia viti.Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????
Bila mbio leo tulikuwa tunaongea mengine. Jamaa alichomoka kama Usain boltApigwe tu maana sasa imekuwa ujinga ujinga.
Kageuzia dharau mpaka kwa mashabiki zake sasa.Au aligoma baada ya kuona mtu hata1000 hawafikiiiApigwe tu maana sasa imekuwa ujinga ujinga.
Hivi amewaponda akina nani? Unaweza leta ushahidi au unaropoka tu?Tatzo ya akili fupi ndo inamsumbua.Kazi kuwalalamikia na kuwaponda wenzie wanapofanya vizur.Haya sasa ona utoto anaofanya.Aendelee kupiga show za buku jero tu maana hakuna jinsi.