Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????
Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..

a7537c94321071f4eb654b735593b12f.jpg

Mkuu @ brave one hii photo siyo Dodoma ni kampala. Dodoma hajapata people kama hao na show ya Dodoma Kibaka hajapost,katazame kwa akaunti yake ya Instagram.

clip ya kiba Jana Dodoma, nahisi aliogopa kuimbia viti. end of thread.
 
Acheni uwongo Alli hakua na shoo jana me nipo dodoma apa jana kulikua na shoo ya Mc pilipili tu pale royal village na trh 24 alikua darasa dodoma royal village..
Kuropoka ndo ajira yetu na ambavyo ajira za walimu wa arts zimefungwa naona topc y threats of the world peace ina Fany kaziii,,,,umeona wap kweny account y kiba kapost show Dodoma ?????
kiba Jana ndani ya Dodoma, maybe aliogopa kuimbia viti.
 
Hata kwenye Instagram akaunt yake hajapost kama ana show Dom..mmekaa mmewashwaaa nmeona mumchokonoe kidume hahahahaaa
 
Yule msanii wa Kariakoo Ali Kiba anayejiita king jana usiku alinusurika kipigo kutoka kwa mashabiki waliopandwa na hasira alipochelewa kupanda stejini mida ya saa nane na nusu za usiku.

Washabiki kiduchu waliomngoja kwa muda mrefu walishikwa na hasira alipopanda stejini usiku huo akaanza kufanya soundcheck ndipo walippoanza kufanya vurugu wakidai pesa zao ama wampe kipigo. Ata hivyo King mzee wa papreeee alifanikiwa kuwachomoka kwa ustadi mkubwa akitumia ujuzi wa kariakoo.

Promota wa show hiyo aliyetishia kumshtaki walifanikiwa kuyamaliza na kurudia show hiyo maana pesa alishapewa yote.

41d269a6034f592bee2d684e9cf20dd2.jpg

a1dff99ea8f89f6ba399dff9ca761388.jpg
 
Tatzo ya akili fupi ndo inamsumbua.Kazi kuwalalamikia na kuwaponda wenzie wanapofanya vizur.Haya sasa ona utoto anaofanya.Aendelee kupiga show za buku jero tu maana hakuna jinsi.
 
Nimeiona hiyo video ya mashabiki wake wakilalamika,wamemlalamikia kwenye mitandao weee sasa anawafanya kama wake zake anasahau kama ni fans tu ambao wana fatilia music.KAMA ANAHITAJI KUA JUU BASI AFANYE KAZI YA ZIADA NA SI KULALAMIKA MTOTO WA KIUME
 
Atasema alihisi Meneja wa Dai yuko Nyuma ya jukwaa..!!

Uhuni wa namna hii asiufanyie Boda aiseee.. Hili ndilo linalowaangusha Wasanii wengi hapa Bongo. Hapo si ajabu ratiba ya Show hiyo alikuwanayo mwezi mzima nyuma na bado kachelewa..!!

Wanaect kama wasanii wakubwa ilhali wanafanya mambo kama wasanii wachanga...!!! Jirekebishe Kiba
 
Tatzo ya akili fupi ndo inamsumbua.Kazi kuwalalamikia na kuwaponda wenzie wanapofanya vizur.Haya sasa ona utoto anaofanya.Aendelee kupiga show za buku jero tu maana hakuna jinsi.
Hivi amewaponda akina nani? Unaweza leta ushahidi au unaropoka tu?
 
Back
Top Bottom