Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elf 25000 au elf25Jana Ally Kiba alikua na show dodoma kiingilio ilikua elfu 25000, cha kushangaza mashabiki wa kiba kazi yao ni kumponda diamond...mara waiponde WCB beach party...mara show ya Iringa itabuma. ...Ivi nyie kwanini msiwe busy na kupromote vya msanii wenu ili aweze kufanya vizuri kama mond??matokeo show inabuma...watu hakuna utafikiri show ya isha mashauzi!! Mliulizia sana picha za wasafi beach party....haya tunaomba picha za jana dodoma....!!
Kwa alichofanya hawezi kuipost aisee tusubiri hyo trh 28Show lazima angepost Instagram sasa hajafanya hivyo unaleta udaku hapa
Pumbavu
Ujinga ule ule wa watanzania..ngoja nikuache, huu mziki utakuwa umeanza kuufuatilia kipindi Bob Juniour na Diamond wanapata majina!Ushahidi nenda kwenye account ya kijana wake shilole kiuno official
hata kama ingekua mia 5 ,hivi unajua inacost how much kuwaste time kumsubiri mtu afu huyo mtu anakuja hatoi kile ambacho umekilipia hata kama umelipia kidogo??kiba atarudi kufanya show za birthday muda si mrefu maana hajithamini kama sio anadharau anajiona kashafika,mwenzake kila siku anajiona ndo kwanza anaanza kila siku anajituma kila siku mashabiki wake kwanza anawapa wanachokitaka anajua nini anafanya,kiba hamna kitu mwenzake mpaka leo anajua ratiba hadi ya mwakani mwezi julai uliza kiba hata ya mwezi ujao kama anaijua...Kiingilio hakikuwa 25,000 acheni kuongeza sifuri, ilikuwa ni buku mbili jero. Hata hivyo wagogo wanatia aibu kwa kuleta vurugu kwa hela ndogo hivyo
Mimi nko udom hapa ukweli ni kwamba vijana boom hamna sasa hivi?wanafunzi wengi walijitahidi kuhudhuria show ya darassa tuHuyu Milly hua ni muongo habari zake hua siziamini kabisa mliopo dom mtupe habari kamili
Kama kawaida bila kumtaja mfalme Kiba siku haijapita
Hahahahhaha unaweza kuta hata hao watu wachaxhe anaowasema ni wahudum wa hiyo club na walinzi basiAngefanya tu hyo shoo kulinda heshima ya jina lake.
Hahahaahaha kumbe anapita kimya kimya..Nifah anaishia kulike comment hatoi neno ama kwel kiba kawaangusha mashabiki wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmenifanya nikaonekana chizi!Nifah anaishia kulike comment hatoi neno ama kwel kiba kawaangusha mashabiki wake
Hahahaahaha kumbe anapita kimya kimya..
Nifah usifanye hivyo babes, tunatamani kusikia kutoka kwako [emoji4]