Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Bila shaka hapa kuna team Kiba na Team Diamond, ingekuwa vizuri baada ya mchuano huu wa kutoleana povu kwisha mmebadilishane jezi zenu(avatar) kama walivyofanya The bold na Nifah.... ama nini?
 
Jana Ally Kiba alikua na show dodoma kiingilio ilikua elfu 25000, cha kushangaza mashabiki wa kiba kazi yao ni kumponda diamond...mara waiponde WCB beach party...mara show ya Iringa itabuma. ...Ivi nyie kwanini msiwe busy na kupromote vya msanii wenu ili aweze kufanya vizuri kama mond??matokeo show inabuma...watu hakuna utafikiri show ya isha mashauzi!! Mliulizia sana picha za wasafi beach party....haya tunaomba picha za jana dodoma....!!
elf 25000 au elf25
 
Ushahidi nenda kwenye account ya kijana wake shilole kiuno official
Ujinga ule ule wa watanzania..ngoja nikuache, huu mziki utakuwa umeanza kuufuatilia kipindi Bob Juniour na Diamond wanapata majina!
 
Kiingilio hakikuwa 25,000 acheni kuongeza sifuri, ilikuwa ni buku mbili jero. Hata hivyo wagogo wanatia aibu kwa kuleta vurugu kwa hela ndogo hivyo
hata kama ingekua mia 5 ,hivi unajua inacost how much kuwaste time kumsubiri mtu afu huyo mtu anakuja hatoi kile ambacho umekilipia hata kama umelipia kidogo??kiba atarudi kufanya show za birthday muda si mrefu maana hajithamini kama sio anadharau anajiona kashafika,mwenzake kila siku anajiona ndo kwanza anaanza kila siku anajituma kila siku mashabiki wake kwanza anawapa wanachokitaka anajua nini anafanya,kiba hamna kitu mwenzake mpaka leo anajua ratiba hadi ya mwakani mwezi julai uliza kiba hata ya mwezi ujao kama anaijua...
 
Huyu Milly hua ni muongo habari zake hua siziamini kabisa mliopo dom mtupe habari kamili
Mimi nko udom hapa ukweli ni kwamba vijana boom hamna sasa hivi?wanafunzi wengi walijitahidi kuhudhuria show ya darassa tu
 
67e86da03c6ae0da467b0ea18bfc1886.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nifah anaishia kulike comment hatoi neno ama kwel kiba kawaangusha mashabiki wake
 
Nifah anaishia kulike comment hatoi neno ama kwel kiba kawaangusha mashabiki wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmenifanya nikaonekana chizi!
Nimecheka sana.

Hahahaahaha kumbe anapita kimya kimya..

Nifah usifanye hivyo babes, tunatamani kusikia kutoka kwako [emoji4]

Baby si umenikataza mwenyewe kusema?
Umeniambia nipumzike kwanza...hadi nitoe siri hadharani jamani?[emoji4]
 
Naona kiba na mgt yake wote hawana akili. Nnachojiuliza zaidi ni wimbo gan wa kiba unaweza kuupambanisha na wa diamond?
Nadhani kundi la Kiba na Kiba mwenyewe wanataka kujenga majina kupitia domo. Domo mbali sn kwa kiba.......Kiba hawezi hata kupambana na rayvanny
 
Back
Top Bottom