Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
You cant be serious,huyo Domo na WCB wote wana wimbo gani wa kupambanisha na Aje?Naona kiba na mgt yake wote hawana akili. Nnachojiuliza zaidi ni wimbo gan wa kiba unaweza kuupambanisha na wa diamond?
Nadhani kundi la Kiba na Kiba mwenyewe wanataka kujenga majina kupitia domo. Domo mbali sn kwa kiba.......Kiba hawezi hata kupambana na rayvanny
Baby si umenikataza mwenyewe kusema?
Umeniambia nipumzike kwanza...hadi nitoe siri hadharani jamani?[emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]You cant be serious,huyo Domo na WCB wote wana wimbo gani wa kupambanisha na Aje?
tarehe 28 kumuona kiba dodoma kiingilio soda uku unacheki mechi ya eplYou cant be serious,huyo Domo na WCB wote wana wimbo gani wa kupambanisha na Aje?
Nivumilie my love...nipo ktk process.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vipi tena umegoma kuwa mtoto mzuri [emoji23] [emoji12]
Nipo kwenye likizo fupi,excuse me [emoji114]tarehe 28 kumuona kiba dodoma kiingilio soda uku unacheki mechi ya epl
Nivumilie my love...nipo ktk process.
Si wajua mazoea tena?[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo kwenye likizo fupi,excuse me [emoji114]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao Sony wanawimbo gani kushindanishwa na [HASHTAG]#Kwetu[/HASHTAG] ya Rayvany maana nyimbo za bosi naweka kapuni deal na bosi mdogoYou cant be serious,huyo Domo na WCB wote wana wimbo gani wa kupambanisha na Aje?
UmenenaWalimponda Diamond alivyoenda kuuza tiketi pale M city,mziki ni biashara na biashara ni ubunifu. Kama sio mbunifu kwenye biashara hautoweza kufanikiwa.
2500Hahahah afu waseme eti wanafanyiwa fitna
elf 25000 au elf25
Mara mbili naweka uzi kuhusu hii ishu kuna mchimba chumvi anaondoa.Ally alipotea baada ya kutoka kimapenzi na seven mosha..ilikuwa zaidi ya meneja. Creativity ya seven ilipotea Kwa msanii wake.
Tulimshauri sana Kiba mwaka huu baada ya kutoa Aje..tulimwambia Fanya Aje tour nchi nzima ingemuongezea mashabiki. Tatzo yeye anadhani kushinda insta na mashabiki uchwala kufanya abstract promotions ingemuongezea mashabiki.
Allykiba huna mashabiki you are supported by haters wa daimond. haters wa diaomond Leo wamehamia kwa Darasa.