Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

Kiba anajiskia...hajui kua mZiki ni kazi...KWA styl hii chibu atawakimbiza coZ anajua anafanya nini dogo!!
 
Sidhani km diamond amewahi hata kumfikiria Kiba......Kiba uwezo wake mdogo sn km kidonge cha piritoni
 
Huyo Ndio Msanii Mkubwa Wa Kimataifa Aliyesajiliwa Na Label Kubwa Ya Sony Music ( Global Deal ).

- Wabongo Tunapenda Sana Sifa Tusizostahili, Badala Ya Kufanya Kazi Tunatanguliza Kujikweza Kwingiii Wakati Hakuna Kitu.
 
Naona kiba na mgt yake wote hawana akili. Nnachojiuliza zaidi ni wimbo gan wa kiba unaweza kuupambanisha na wa diamond?
Nadhani kundi la Kiba na Kiba mwenyewe wanataka kujenga majina kupitia domo. Domo mbali sn kwa kiba.......Kiba hawezi hata kupambana na rayvanny
You cant be serious,huyo Domo na WCB wote wana wimbo gani wa kupambanisha na Aje?
 
Ally alipotea baada ya kutoka kimapenzi na seven mosha..ilikuwa zaidi ya meneja. Creativity ya seven ilipotea Kwa msanii wake.
Tulimshauri sana Kiba mwaka huu baada ya kutoa Aje..tulimwambia Fanya Aje tour nchi nzima ingemuongezea mashabiki. Tatzo yeye anadhani kushinda insta na mashabiki uchwala kufanya abstract promotions ingemuongezea mashabiki.
Allykiba huna mashabiki you are supported by haters wa daimond. haters wa diaomond Leo wamehamia kwa Darasa.
 
67e86da03c6ae0da467b0ea18bfc1886.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kipind watu wanaendlea kufanya show za club mwenzao kahamia kwenye show za live band tena uwanjan
Waachen waendlee kuamin kua mshindan wake ni chibu kumbe hata kwa vany hasogei
 
Ally alipotea baada ya kutoka kimapenzi na seven mosha..ilikuwa zaidi ya meneja. Creativity ya seven ilipotea Kwa msanii wake.
Tulimshauri sana Kiba mwaka huu baada ya kutoa Aje..tulimwambia Fanya Aje tour nchi nzima ingemuongezea mashabiki. Tatzo yeye anadhani kushinda insta na mashabiki uchwala kufanya abstract promotions ingemuongezea mashabiki.
Allykiba huna mashabiki you are supported by haters wa daimond. haters wa diaomond Leo wamehamia kwa Darasa.
Mara mbili naweka uzi kuhusu hii ishu kuna mchimba chumvi anaondoa.
 
Mtajijua wenyewe na team zenu.nikae hadi saa saba usiku niache kulala eti nikae nasubiri kumuona ally kiba..huo nao ni umburura
 
Back
Top Bottom