Pre GE2025 Alikiba aja na mashindano ya kumpigia debe Rais Samia 'Samia Celebrities and Companies Cup'

Pre GE2025 Alikiba aja na mashindano ya kumpigia debe Rais Samia 'Samia Celebrities and Companies Cup'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Machawa wa Samia hawapoi

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1740943543995.png
ba​
 
Kina umejimaliza kimuzikikukubali kitumiwa na cccm kwisha chawa kiba ,chawa kiba,aibu brand yako chaliii,hovyo kama mwijaku ,kweli njaa kali
 
Wasanii wa Sasa Bure kabisa uchaguzi ukiisha pita dhamani yao kwisha ,Kama big g wanatemwa kuleeed
 
Imefika wakati wala sishtuki tena. Unaweza kushangaa ligi ya NBC inasimamishwa ghafla halafu linaanzishwa "Samia Mitano Tena Cup" likijumuisha timu za Simba, Yanga, Singida na Azam.

Wamefanya hivyo kwenye ligi ya wanawake.

Hiyo timu ya BadNation nimependa jina lake. Linatupa ujumbe bila kutarajia. Nawaombea wachukue ubingwa wa Samia Cup!
 
Kwani we hutaki Hela? Acheni vijana wale mifweza. Wapiga kelele wote kura hampigi na hamjajiandikisha..
Sa ndo mtaweza kuwang'oa Yanga kileleni?
 
Hivi hawa wasanii wanalazimishwa au ni hiari yao,. Habari sn hii, kila kona CHAWA
Possibly kuna kitita kirefu sana kimetengwa kwa ajiri ya hii kampeni ya kum-promote bi mkubwa. Niliona mabango ya valentine, mpaka insta kuna sponser ads za bi mkubwa nani analipia gharama zote izo
 
Wawaingize na,azam media maana hawana pa kupumulia
 
Back
Top Bottom