Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wadau kuna tetesi kwamba msanii nguli wa bongo fleva King Kiba amelipwa pesa za kitanzania zaidi ya 1b katika uzinduzi uliofanyika jana huko Dubai!!

Je hizi tetesi ni za kweli au ndo kick tu za mjini??
Screenshot from 2016-09-26 08-59-48.png
 
Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
 
Back
Top Bottom